Simba hamtokaa mchukue Kombe wakati Eng. Hersi akiwa Rais wa Yanga

Mtaelewa soon Kwa Simba sio ya mchezo mchezo .
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚DAAAAH

ILA MNAKOFIDENSI UTADHANI MKO TIMAMU KUMBE NI MAKASASA TU!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]DAAAAH

ILA MNAKOFIDENSI UTADHANI MKO TIMAMU KUMBE NI MAKASASA TU![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Yanga Ina kipi Cha maana mkuu au kuitwa ikulu ndio kombe la Africa Acheni ushamba utopolo hamna lolote upepo tu .
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!.

Hutaki au unataka huo ndiyo ukweli, kama ni sumu nendeni mkakoroge mnywe kama hamtotaka maumivu kwa miaka 8 ijayo.

Simba haiwezi kamwe kuchukua ubingwa mbele ya Yanga iliyobora (Isiyotembeza bakuli). Mara zote Simba amekuwa akichukua ubingwa mbele ya Yanga yenye migogoro na inayoyumba kiuchumi.

Yanga huwa inachukua ubingwa mbele ya Simba bora isiyo na matatizo ya kiuchumi, sasa taarifa ni kwamba hili kombe la NBC PREMIER LEAGUE hamtokaa mchukue Kipindi chote cha utawala wa Eng Hersi na wenzie kwani wameisuka Yanga na haina migogoro.

Ponapona ya Simba Muombe Yanga ipate migogoro ndipo mtaweza kuchukua kombe lakini vinginevyo andikeni maumivu.

Endeleeni kumlipa Jemedari na wenzie wakoleze moto sawa sawa kwa kuiponda Yanga huenda ukalipa!.

ONYO :
Njoo kwa Tahadhari, mbele kuna kona kali!.
Afya ya akili
 
Sasa Yanga Ina kipi Cha maana mkuu au kuitwa ikulu ndio kombe la Africa Acheni ushamba utopolo hamna lolote upepo tu .
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ila Makolo mna laana dadeeeki
 
Yeye ni nanii?? Yeye ni nani?? Tuanze hapo...labda kama ana ubia na striker wa Tanzania nzima..
Timu kubwa maaamaaa. Brandi! Wakubwa... Wakulu..... Ndio mana tunakataaga hapa kuwa Simba kama timu kubwa labda nchi nyingine huko lakini sio mbele ya yanga. Utatumiwa kijanaaa huu mziki mwingine... Topic inayohusisha jina letu wanaojadili wote mshibe. we are young Africans na si vinginevyo
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!.

Hutaki au unataka huo ndiyo ukweli, kama ni sumu nendeni mkakoroge mnywe kama hamtotaka maumivu kwa miaka 8 ijayo.

Simba haiwezi kamwe kuchukua ubingwa mbele ya Yanga iliyobora (Isiyotembeza bakuli). Mara zote Simba amekuwa akichukua ubingwa mbele ya Yanga yenye migogoro na inayoyumba kiuchumi.

Yanga huwa inachukua ubingwa mbele ya Simba bora isiyo na matatizo ya kiuchumi, sasa taarifa ni kwamba hili kombe la NBC PREMIER LEAGUE hamtokaa mchukue Kipindi chote cha utawala wa Eng Hersi na wenzie kwani wameisuka Yanga na haina migogoro.

Ponapona ya Simba Muombe Yanga ipate migogoro ndipo mtaweza kuchukua kombe lakini vinginevyo andikeni maumivu.

Endeleeni kumlipa Jemedari na wenzie wakoleze moto sawa sawa kwa kuiponda Yanga huenda ukalipa!.

ONYO :
Njoo kwa Tahadhari, mbele kuna kona kali!.
Upumbavu nao ni kipaji,Yanga ina hazina kubwa ya wapumbavu
 
Mimi ngozi yangu ngumu sisikii maumivu...lete mishale hyo..
Leo situmii sumu ila nitatumia Korosho tu ili nikunase maana ulisema unapendaga sana Korosho!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Timu kubwa maaamaaa. Brandi! Wakubwa... Wakulu..... Ndio mana tunakataaga hapa kuwa Simba kama timu kubwa labda nchi nyingine huko lakini sio mbele ya yanga. Utatumiwa kijanaaa huu mziki mwingine... Topic inayohusisha jina letu wanaojadili wote mshibe. we are young Africans na si vinginevyo
Daaah huyo wewe huyooo...
Sawa bwana midabwada..
 
Leo situmii sumu ila nitatumia Korosho tu ili nikunase maana ulisema unapendaga sana Korosho!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mi leo nalala mapema sipo lindo...korosho utanipitishia kesho mahali pale pale kwenye lindo langu...
 
Timu kubwa maaamaaa. Brandi! Wakubwa... Wakulu..... Ndio mana tunakataaga hapa kuwa Simba kama timu kubwa labda nchi nyingine huko lakini sio mbele ya yanga. Utatumiwa kijanaaa huu mziki mwingine... Topic inayohusisha jina letu wanaojadili wote mshibe. we are young Africans na si vinginevyo
Mkuu umevaa bullet proof?

Angalia usije pigwa shaba na Kalpana maana anazo hasira kama zote utadhani umemchukulia mumeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mi leo nalala mapema sipo lindo...korosho utanipitishia kesho mahali pale pale kwenye lindo langu...
Ningekupitishia ila sema nimesafiri nipo natafuta watoto hapa A - Town.
 
Sawa wape hi huko...
Nitakuletea Nyama za kwa-Mromboo ili angalau utafune utengeneze mwili,huo si mwili wako najua ni msongo unaoletelezwa na MadundukaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom