Sasa Yanga Ina kipi Cha maana mkuu au kuitwa ikulu ndio kombe la Africa Acheni ushamba utopolo hamna lolote upepo tu .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]DAAAAH
ILA MNAKOFIDENSI UTADHANI MKO TIMAMU KUMBE NI MAKASASA TU![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ngozi yangu ngumu sisikii maumivu...lete mishale hyo..Naomba leo nikuue bila maumivu ππππ
Afya ya akiliNsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!.
Hutaki au unataka huo ndiyo ukweli, kama ni sumu nendeni mkakoroge mnywe kama hamtotaka maumivu kwa miaka 8 ijayo.
Simba haiwezi kamwe kuchukua ubingwa mbele ya Yanga iliyobora (Isiyotembeza bakuli). Mara zote Simba amekuwa akichukua ubingwa mbele ya Yanga yenye migogoro na inayoyumba kiuchumi.
Yanga huwa inachukua ubingwa mbele ya Simba bora isiyo na matatizo ya kiuchumi, sasa taarifa ni kwamba hili kombe la NBC PREMIER LEAGUE hamtokaa mchukue Kipindi chote cha utawala wa Eng Hersi na wenzie kwani wameisuka Yanga na haina migogoro.
Ponapona ya Simba Muombe Yanga ipate migogoro ndipo mtaweza kuchukua kombe lakini vinginevyo andikeni maumivu.
Endeleeni kumlipa Jemedari na wenzie wakoleze moto sawa sawa kwa kuiponda Yanga huenda ukalipa!.
ONYO :
Njoo kwa Tahadhari, mbele kuna kona kali!.
Timu kubwa maaamaaa. Brandi! Wakubwa... Wakulu..... Ndio mana tunakataaga hapa kuwa Simba kama timu kubwa labda nchi nyingine huko lakini sio mbele ya yanga. Utatumiwa kijanaaa huu mziki mwingine... Topic inayohusisha jina letu wanaojadili wote mshibe. we are young Africans na si vinginevyoYeye ni nanii?? Yeye ni nani?? Tuanze hapo...labda kama ana ubia na striker wa Tanzania nzima..
Upumbavu nao ni kipaji,Yanga ina hazina kubwa ya wapumbavuNsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!.
Hutaki au unataka huo ndiyo ukweli, kama ni sumu nendeni mkakoroge mnywe kama hamtotaka maumivu kwa miaka 8 ijayo.
Simba haiwezi kamwe kuchukua ubingwa mbele ya Yanga iliyobora (Isiyotembeza bakuli). Mara zote Simba amekuwa akichukua ubingwa mbele ya Yanga yenye migogoro na inayoyumba kiuchumi.
Yanga huwa inachukua ubingwa mbele ya Simba bora isiyo na matatizo ya kiuchumi, sasa taarifa ni kwamba hili kombe la NBC PREMIER LEAGUE hamtokaa mchukue Kipindi chote cha utawala wa Eng Hersi na wenzie kwani wameisuka Yanga na haina migogoro.
Ponapona ya Simba Muombe Yanga ipate migogoro ndipo mtaweza kuchukua kombe lakini vinginevyo andikeni maumivu.
Endeleeni kumlipa Jemedari na wenzie wakoleze moto sawa sawa kwa kuiponda Yanga huenda ukalipa!.
ONYO :
Njoo kwa Tahadhari, mbele kuna kona kali!.
Daaah huyo wewe huyooo...Timu kubwa maaamaaa. Brandi! Wakubwa... Wakulu..... Ndio mana tunakataaga hapa kuwa Simba kama timu kubwa labda nchi nyingine huko lakini sio mbele ya yanga. Utatumiwa kijanaaa huu mziki mwingine... Topic inayohusisha jina letu wanaojadili wote mshibe. we are young Africans na si vinginevyo
Mi leo nalala mapema sipo lindo...korosho utanipitishia kesho mahali pale pale kwenye lindo langu...Leo situmii sumu ila nitatumia Korosho tu ili nikunase maana ulisema unapendaga sana Korosho!πππ
Mkuu umevaa bullet proof?Timu kubwa maaamaaa. Brandi! Wakubwa... Wakulu..... Ndio mana tunakataaga hapa kuwa Simba kama timu kubwa labda nchi nyingine huko lakini sio mbele ya yanga. Utatumiwa kijanaaa huu mziki mwingine... Topic inayohusisha jina letu wanaojadili wote mshibe. we are young Africans na si vinginevyo
Sawa wape hi huko...Ningekupitishia ila sema nimesafiri nipo natafuta watoto hapa A - Town.