Simba hamtokaa mchukue Kombe wakati Eng. Hersi akiwa Rais wa Yanga

Sio mm. Yanga hata iwe inakula ugali na Sukari timu nzima ikikutana na wanga fc lolote jibu. Mnachotuzodi labda uchawi tu na mwaka huu ndo kesi stadi
Hebu nenda bwana usituvuruge na uoga wenu wa mvua...kweli nyie vyura...na tutawaloga mpka muwe vilui lui..si mnatuita wachawi..
 
Hasira za nini weeeee mamamaaa🎶🎶......wataka kuniua bureeee mamaaaaa!🎶,Kwangu hayupoo kwako hayupoooooo.....chuki ya nini kati yangu mimi na weweeee🎶🎶🎶

Nasema sina makosa weeeeee Kalpana mamamaaaaaaa!🎶🎶🎶🎶😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Utoto raha sana. Umekaa hapo baada ya kunywa maziwa kutoka kwa home umekuja kucheua humu.

Jinga kabisa.
 
Na Kama sio mvua kugeuza mkapa pitch kuwa na utelezi Leo yanga angekuwa na kombe la caf confederation kabatini .
Second leg waarabu Mpaka wanafikia Hali ya kuficha Mpira kupoteza muda imeshangaza
Waarabu afrika wanajulikana sio hao mliocheza nao nyie, waarabu wenyewe mkicheza nao huwa mnakula 6
 
Na Kama sio mvua kugeuza mkapa pitch kuwa na utelezi Leo yanga angekuwa na kombe la caf confederation kabatini .
Second leg waarabu Mpaka wanafikia Hali ya kuficha Mpira kupoteza muda imeshangaza

Sisi tulimkanda Wydad, kule kwao wakapoteana wakaanza kulia wachezaji na washabiki wao!!!!

Wewe unasemea Us Alger ambao walikukanda kwako!!!
 
Usm alikandwa kwake Mpaka akaleta Mbinu za kupoteza muda na Kama sio kuleta figisu Mechi ingeisha 2-0 na wewe unajua Hilo kwavile hutaki kukubali Maana Mwarabu Alizidiwa kila kitu mpaka na possession
 
Jiandae kwa matusi mkuu maaana kule hamna hata mzma wa akili (Mbumbumbu)
 
Na Kama sio mvua kugeuza mkapa pitch kuwa na utelezi Leo yanga angekuwa na kombe la caf confederation kabatini .
Second leg waarabu Mpaka wanafikia Hali ya kuficha Mpira kupoteza muda imeshangaza
Hiyo mvua iliwaathiri nyinyi tu? Mvua ilianza tanguia asubuhi, kwakua nyinyi ni wenyeji na mnaujua vizuri huo uwanja ilitakiwa nyinyi ndio mnufaike, sio wageni.

Mlipoteza kubalini.
 
Nikiongea kiufundi zaidi na kiuhalisia inawezekana viatu vya Baadhi ya wachezaji wa yanga Kama sio wote havikuwa maalumu kwa uchezaji wa Hali iliyokuwepo uwanjani ya utelezi .
 
MO ondoke tuachie timu yetu, hasipoondoka tunasusia bidhaa zake tunahamia kwenye bidhaa za Azam
 
Nikiongea kiufundi zaidi na kiuhalisia inawezekana viatu vya Baadhi ya wachezaji wa yanga Kama sio wote havikuwa maalumu kwa uchezaji wa Hali iliyokuwepo uwanjani ya utelezi .
Na hii ndio sababu haswa, hapo ulaumiwe uongozi wa team.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…