Simba hamtokaa mchukue Kombe wakati Eng. Hersi akiwa Rais wa Yanga

Stering hapo utopolon kwa wala mihogo ni Ghaarib


Hersi ni chawa km chawa wengine


Ghaarib akivurugwa huyo hers anapelekwa kusimamia magodoro hapo analetwa mwingine na maisha yanaenda km hakuna kilichotokea
 
Hakuna viporo? Hakuna ubingwa
 
Mmmmmh. Kwa tofauti ya pointi tano ndo unatamba kiasi hiki.
 
Unadhani masuala ya mpira ni sawa na zile stories zako za uongo uongo?!

Wewe jikite katika kutunga uongo uongo wako wa hadithi njoo utamu kolea. Pumbunyo weee
 
Haya utakalia hayohayo, nabi kaondoka huko bado mayele nk .
 
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa wafute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…