vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Sawa mafanikio fcKuinuka kwenda wapi? Krooo kroooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mafanikio fcKuinuka kwenda wapi? Krooo kroooo
Endeleeni na vikao hapo dimbwini kuyaongeza hayo mafanikio.Sawa mafanikio fc
ila hakumfikia Luc Eymael, mzee wa manyani na ma mbwa
-Matumizi ya hela za kuingia robo na group stage kila mwaka hayapo.Simba hawajielewi, mkutano mkuu unakuwa Kama mko kanisani au msikitini, sijaona mtu yoyote akihoji Ila baada ya siku mbili utasikia watu kwenye redio, magazeti wanaanza kuhoji Mambo ambayo kimsingi yalitakiwa yahojiwe kwenye mkutano mkuu.
Mwaka Jana Simba walitangaza bajeti ya bilioni 13 lakini bada ya yanga kufanya mkutano wao na bajeti kuwa kubwa kuliko ya Simba CEO wake akaibuka na bajeti tofauti kuonyesha Simba Wana bajeti kubwa kuliko yanga kitu ambacho sio cha ukweli.
Simba ilianzisha mchango kwa ajili ya kujenga uwanja, Leo wanasema pesa zimejenga uzio na watu wanapiga makofi lakini wameshindwa kuhoji naninaliyebadilisha matumizi ya hizo pesa na pia Simba Wana mpango gani wa kujenga viwanja.
Mapato ya jengo la Msimbazi Kila mwaka ni milioni 500 hakuna mkakati wowote wa kuyaongeza Wala kujenga jengo la kisasa.
Simba inajisifu kukusanya bilioni 15 lakini umeshindwa kupata udhamini wa benki hata moja pamoja na kuwa na kiasi kikubwa cha pesa.
Mapato ya wadhamini hayajatolewa ufafanuzi hata mkataba wa kuweka logo kifuani kwa mashindano ya Afrika haujawekwa wazi.
Mauzo ya wachezaji mfano Sackho hayajawekwa wazi.
Kikao Kama like kisingechukua muda mfupi yaani hata mafanikio wanayotangaziwa hayaendani na ukubwa wa Simba .
Wakati mwingine tunawasitiri uozo wao kumbe hawatuheshimuBasi kuna tatizo mahali!
Yaani aibu yao wanaimwaga hapa halafu utokolo wakiwapa za uso wananuna kumbe wao wenyewe ndiyo wanawapa fimbo ya kuwachapia.Umewapa vyura topic ya wiki nzima...