Simba hata ikitoa draw kule Misri nipigwe Ban ya siku 7. Haiwezekani hata kwa Dawa

Washakandikwa na kibonde mwenzao sasa warudi dar wafanye kazi ya kuwakusanya waganga wa kienyeji wawasaidie lakini awatoboi mwakarobo
 
Dah! Naona uliwafungia na Komeo Lachuma
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚
 
Na Hawa mbumbumbu walicheza mechi ya yanga na mc alger nje ya uwanja Sasa tutagawana maumivu tuliwatunza na wamejaa kwenye 18 zetu mwisho wao ni apo walipofikia tutawaonyesha labda wavuke kwenda Zanzibar na sio kuvuka kwenda nusu fainali
 
Ww nae ni baba wa familia au bado unajitafuta...hahahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…