Simba hatarini kupokonywa kombe; TFF kufungiwa na FIFA kwa sababu ya Yanga

Uongozi wa Yanga wameishakataa kata kata ( kupitia kwa msemaji wao) kupeleka timu kiwanjani. Wewe unaishi duniani gani mkuu?
Uongozi ulishasema watapeleka timu uwanjani,na huyo msemaji alisema kuwa kauli yake ilikuwa ya utani tu. Wazee wanaoshikilia msimamo wa kutopeleka timu uwanjani hawatambuliki kwenye Katiba ya Yanga kama sehemu ya uongozi wa Yanga. Mechi ipo pale pale.
 
Tatizo simba huyu ameenda pole mno hadi ataikosa nyama au atakuta imeioza. Tazama nchi zote duniani ligi zao zimefika tamati lakini ligi hii ya TFF inatarajiwa kufika tamati mwaka ujao. Haya ni maajabu ya dunia ndugu yangu Bujibuji .
Kumbe na wewe ni mtopolo tu. Upuuzwe tu .
 
Umeandika usiku sana hadi ndoto yenyewe umeisahau.
 
Sasa mbona Yanga hawajaadhibiwa kupitia kifungu hicho cha emergency? Tatizo nini?

Hali ya korona inajulikana duniani kote. Serikali kusimamisha ligi kipindi korona ni kwa sababu ya kulinda afya za raia sio kuingilia masuala ya michezo.
Uongozi wa Yanga,Simba,TFF,Bodi ya Ligi na Serikali walishakaa na kufikia mwafaka wa kuwa mchezo uchezwe tarehe 3 July. Hizi nyingine ni shamra shamra tu kuelekea siku hiyo ya tarehe 3 July, mchezo upo na kipigo cha mbwa mwizi kipo pale pale
 
Uongozi wa Yanga wameishakataa kata kata ( kupitia kwa msemaji wao) kupeleka timu kiwanjani. Wewe unaishi duniani gani mkuu?
Kiongozi gani alikataa unaweza kumnukuu na kuweka ushahidi wa sauti au chombo alichotumia kutoa kauli hiyo.
Unachukua kauli za wazee kuwa viongozi ambao katiba tu haiwatambui. Kila kitu kinaendeshwa kisheria na taratibu zake

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa kafakamia K -Vant za ofa ameamka nazo kichwani.
 
Upuuzi umeandika. Fifa sio kama kakikao ka akina injinia hersi pale jengoni kweu kwenye moja ya vyumba mlivyokarabati
 
Huu ulioandika ni utopolo.
Ila sishsngai utopolo kuandika utopolo. Tusiandikie mate, tarehe 3 inafika halafu nyie pelekeni team bar.
 
UTOPOLO ULIOTOPEA.
 
Ufala wako ni kudanganya watu
1. Team zipo 18 sio 20 hivyo michezo automatic itaishia 34

2.Yanga lazima wataleta team trh tatu hawana ubavu wa kushindana na mamlaka twice

3.Hata wasipoleta team kuna adhabu mbili kama wapo sahihi watapewa point tatu na magoli 3 dhidi ya Simba na bado Simba atakua bingwa kama hawako sahihi watashushwa madaraja mawili na kwenda ligi daraja la pili kitu ambacho hakuna mwana yanga yupo tayari

4.Wew nimeangalia thread zako kibao bila Shaka sio mwanamichezo na ni mwepesi mno kwenye michezo najaribu kuwaza kama kwann unaleta udadavuzi wa kina kwenye suala usilolijua na mashaka na mengine kama hautupi matango pori

5. Thread yako ya mwaka 2018 ya ww kukosa nguvu za kiume imeniuma kama mwanaume na haina mrejesho vip umepata suluhisho au tukusaidie
Hee! Sasa ufala wangu unakujaje tena ndugu yangu? Kusema ukweli ndio UFALA au umevurugwa?
 
Umemaliza kila kitu uliposema wewe sio mtu wa mpira kiviiiile, umethibitisha wewe ni "mjinga" wa masuala ya mpira.
 
"Mimi sio mtu wa mpira kiviiiiile lakini nadhani Yanga wapo sahihi kwa asilimia 90%"

Tulia nenda ukapete mchele au kafume vitambaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…