900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Hii inchi bhana ni kama ccm wakisikia tu chadema wana mkutano mahali tarehe flani utawasikia wakipachika tu tukio ambalo halikwepo kwa wakati huo ilikuwavuruga tu malengo yao yasifanikiweWizara ya michezo kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi wa michezo imesema huenda club ya Simba ikazuiwa kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa kusherehekea kilele cha wiki ya Simba kwa sababu ya matengenezo yatakayoanza mapema wiki ijayo.
Matengenezo hayo ni maandalizi michuano ya Super League ambayo Simba itashiriki. Hivyo club ya Simba inashauriwa itafute uwanja mwingine ambao utatumika katika mchezo wa kirafiki baina yake na Power Dynamos ya Zambia tarehe 6 mwezi ujao.