Tetesi: Simba hati hati kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa!

Tetesi: Simba hati hati kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa!

Wizara ya michezo kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi wa michezo imesema huenda club ya Simba ikazuiwa kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa kusherehekea kilele cha wiki ya Simba kwa sababu ya matengenezo yatakayoanza mapema wiki ijayo.

Matengenezo hayo ni maandalizi michuano ya Super League ambayo Simba itashiriki. Hivyo club ya Simba inashauriwa itafute uwanja mwingine ambao utatumika katika mchezo wa kirafiki baina yake na Power Dynamos ya Zambia tarehe 6 mwezi ujao.
Hii inchi bhana ni kama ccm wakisikia tu chadema wana mkutano mahali tarehe flani utawasikia wakipachika tu tukio ambalo halikwepo kwa wakati huo ilikuwavuruga tu malengo yao yasifanikiwe
 
Wanatukumbusha tuwe na viwanja vyetu
Hivi vilabu viwili vikiwa na viwanja vyao itasababisha hasara kwa uwanja wa Taifa na ule wa Uhuru. Bila shaka hata mamlaka za juu zinafurahia hizi timu zisijenge viwanja vyao
 
Simba watafanyia hapo sherehe zao na hata kama wakifanyia kwengine bado kitawaka tu tabu iko palepale.

mziki wa Simba kwenye haya mambo ni mkubwa sana wao ndio waasisi wa haya mambo ya siku maalum ya club kuekekea msimu mpya.
 
Wizara ya michezo kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi wa michezo imesema huenda club ya Simba ikazuiwa kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa kusherehekea kilele cha wiki ya Simba kwa sababu ya matengenezo yatakayoanza mapema wiki ijayo.

Matengenezo hayo ni maandalizi michuano ya Super League ambayo Simba itashiriki. Hivyo club ya Simba inashauriwa itafute uwanja mwingine ambao utatumika katika mchezo wa kirafiki baina yake na Power Dynamos ya Zambia tarehe 6 mwezi ujao.

Itabaki kuwa tetezi, watautumia huo uwanja, ngoja muone
 
Ule uwanja bado sana, Yaani sijui waliufunga kufanya shughuli gani.
Uwanja ni mkubwa umewashinda uhudumia maana mapato yake yanategemea Simba na Yanga, zisipocheza kila kitu hakirekebishiki
 
Hamjiulizi kwanini mpaka leo timu hizi mbili zina mashabiki na hazijengi uwanja?
Huo uwanja wasipotumia simba na yanga hizo hela za kuhudumia uwanja watatoa wapi?
 
Walikosea kuwakubalia Yanga...wangeanza kuwakatalia isingikuwa shida kwa Simba..hapo waruhusu tu yaishe
 
Back
Top Bottom