900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Hii inchi bhana ni kama ccm wakisikia tu chadema wana mkutano mahali tarehe flani utawasikia wakipachika tu tukio ambalo halikwepo kwa wakati huo ilikuwavuruga tu malengo yao yasifanikiweWizara ya michezo kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi wa michezo imesema huenda club ya Simba ikazuiwa kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa kusherehekea kilele cha wiki ya Simba kwa sababu ya matengenezo yatakayoanza mapema wiki ijayo.
Matengenezo hayo ni maandalizi michuano ya Super League ambayo Simba itashiriki. Hivyo club ya Simba inashauriwa itafute uwanja mwingine ambao utatumika katika mchezo wa kirafiki baina yake na Power Dynamos ya Zambia tarehe 6 mwezi ujao.
Hivi vilabu viwili vikiwa na viwanja vyao itasababisha hasara kwa uwanja wa Taifa na ule wa Uhuru. Bila shaka hata mamlaka za juu zinafurahia hizi timu zisijenge viwanja vyaoWanatukumbusha tuwe na viwanja vyetu
Wizara ya michezo kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi wa michezo imesema huenda club ya Simba ikazuiwa kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa kusherehekea kilele cha wiki ya Simba kwa sababu ya matengenezo yatakayoanza mapema wiki ijayo.
Matengenezo hayo ni maandalizi michuano ya Super League ambayo Simba itashiriki. Hivyo club ya Simba inashauriwa itafute uwanja mwingine ambao utatumika katika mchezo wa kirafiki baina yake na Power Dynamos ya Zambia tarehe 6 mwezi ujao.
huko= uko, hebooo= eboo.Mkuu una ugomvi na matumizi ya herufi h?Pelekeni Bunju huko hilo tamasha lenu. Uwanja huko kwenye matengenezo makubwa hebooo
Mkuu, busara zako ndiyo zimeishia hapa?Wacheze uwanja wa uhuru, au waende kwenye ule uwanja wao wa Bunju. Maana hilo ni tamasha tu!
Na isitoshe uwanja unaandaliwa kwa ajili yao wenyewe!
Uwanja ni mkubwa umewashinda uhudumia maana mapato yake yanategemea Simba na Yanga, zisipocheza kila kitu hakirekebishikiUle uwanja bado sana, Yaani sijui waliufunga kufanya shughuli gani.
Muhimu ujumbe umefikahuko= uko, hebooo= eboo.Mkuu una ugomvi na matumizi ya herufi h?
Waliujenga wa niniUwanja ni mkubwa umewashinda uhudumia maana mapato yake yanategemea Simba na Yanga, zisipocheza kila kitu hakirekebishiki
tetesi mkuuWameshaanza kutuchawia sasa.. why wasitengeneze siku zooote hizo?
Tena takataka za takataka kabisaTIMU kubwaa TIMU kubwaa kabisaa,[emoji1787][emoji1787]inalilia uwanja....KWENYE SUALA LA UWANJA
SIMBA NA YANGA NI TAKATAKA
Pride and Prestige