Simba hatuna chetu msimu huu!

MAKOMBE YAMEANZA KURUDI TUMEANZA NA NGAO MMELALA LABDA MUMCHEZESHE MANARA
 
Mcha MBUZI ukowapi
 
Wewe ni mwanasimba wa mchongo. Rudi kwenye timu yako ya UTOPOLO hatukutaki
 
MAKOMBE YAMEANZA KURUDI TUMEANZA NA NGAO MMELALA LABDA MUMCHEZESHE MANARA
Mechi mbili goal 0 short on tagert hazizidi tano. Sijui kama NBC inafika hadi hatua ya penati, ila kama ingekuwa ni ligi tayari point 4 zimedondoshwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mgonjwa wa akili
 
Wanaojisifia timu nzuri wako hoiii wamolouwaaaa...wanafurahi kufika kwny goal bila tactics hawajipangi wanabutua tuu...wazee wa off side

Endelea kuugua huko ulipo , Topolo la hovyo
 
Wanaojisifia timu nzuri wako hoiii wamolouwaaaa...wanafurahi kufika kwny goal bila tactics hawajipangi wanabutua tuu...wazee wa off side
Sasa hivi wanasema kwao mpira ni burudani na siyo magoli
 
Hii tukubaliane tu mleta andiko .HAIJAENDA hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…