Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,231
- 22,494
Nakutafuta kumbe umejificha huku🤣🤣🤣🤣Mkude na Akpan, hawa wengine mmmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakutafuta kumbe umejificha huku🤣🤣🤣🤣Mkude na Akpan, hawa wengine mmmh
Mkude na Akpan, hawa wengine mmmh
Nadhani tutaanza kuelewana
Wangekusikiliza yasingewakuta ya leo..!! Haiwezekani Mayele alipe deni halafu awakopeshe moja..!! Halafu haiwezekani Inonga ambaye alisemekana ndo kiboko ya Mayele, goli la pili lianzie kwenye tobo lake halafu liende nyavuni..!! Dhisi izi ani insaliti..!!Habari wakuu
Me ni shabiki wa Team ya Simba Sc
Kuna kitu nakiona kwenye team yetu hasa idara ya kiungo mkabaji ambayo iko chini ya Wajina wangu JM
Ni wazi kwa sasa team inacheza kwa uwezo binafsi wa wachezaji na sio team play na kingine kama tutaendelea kujidanganya kwamba Mkude ndio kiungo bora wa kufanya kazi ya kukata umeme ni wazi tumepotea.
Mfano mdogo angalia mechi ya St George kipindi cha kwanza tulipotezwa kabisa kwa Kiungo ya Mkude na Kanoute na hao ndio tunawategemea eti wawe double pivot yetu msimu unaoanza.
Uongozi uliangalie hili suala la kiungo mkabaji mapema sana kabla hayajatukuta mabaya huko mbele.
Kanoute na akpan, sio mkude. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkude na Akpan, hawa wengine mmmh
Na utajijuuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakutafuta kumbe umejificha huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli kabisa mkuuKwenye game nzito huwa anapotea kabisa
sawa mkuu, Mkude alipoteana... kocha akamtoa Chama ndio ikawa byebyeAcheni woga, sisi mbona hatuna cb mtatupiga nyongi basi kama mpira upo hivyo