Simba hatuna namba 6 ya maana na hatuchezi kiteam

Simba hatuna namba 6 ya maana na hatuchezi kiteam

Habari wakuu

Me ni shabiki wa Team ya Simba Sc
Kuna kitu nakiona kwenye team yetu hasa idara ya kiungo mkabaji ambayo iko chini ya Wajina wangu JM

Ni wazi kwa sasa team inacheza kwa uwezo binafsi wa wachezaji na sio team play na kingine kama tutaendelea kujidanganya kwamba Mkude ndio kiungo bora wa kufanya kazi ya kukata umeme ni wazi tumepotea.

Mfano mdogo angalia mechi ya St George kipindi cha kwanza tulipotezwa kabisa kwa Kiungo ya Mkude na Kanoute na hao ndio tunawategemea eti wawe double pivot yetu msimu unaoanza.

Uongozi uliangalie hili suala la kiungo mkabaji mapema sana kabla hayajatukuta mabaya huko mbele.
Wangekusikiliza yasingewakuta ya leo..!! Haiwezekani Mayele alipe deni halafu awakopeshe moja..!! Halafu haiwezekani Inonga ambaye alisemekana ndo kiboko ya Mayele, goli la pili lianzie kwenye tobo lake halafu liende nyavuni..!! Dhisi izi ani insaliti..!!
 
Viongozi wenu walikuwa bize na mkutano wa CAF[emoji1]
 
Back
Top Bottom