Simba hebu Njooni mjibu haya Maswali

Kweli kabisa
 
Namba 1 huo wimbo wa makolo Sasa ni zilipendwa , Hawataki kusikia , Hilo swali halina jibu, mwarabu Raja alimkanda mnyama bila huruma home kwake kwa Mkapa, makolo wanacheza weee, mwarabu akishika boli ni goli! Hadi chuma tatu zikatimia mbumbumbu wakarudi msimbazi wameloaaaa! Jiji likatulia kelele za honi za bodaboda hakuna makolo wote wakubwa kwa wadogo kimyaaaaa!!
 
Nitajie sifa muhimu za timu kubwa sio kila siku ukiammka tu kabla hata haujanawa uso unasema simba timu kubwa kivip labda mkuu
 
Tafuta hata kwenye google..
Naitaj ww unambie maana umesema tena ukiwa unatoa mapovu kuwa simba ni timu kubwa nimekuulisa kivip unaanza kutoa sababu za kipopoma kuwa nikatafte Google
 
Naitaj ww unambie maana umesema tena ukiwa unatoa mapovu kuwa simba ni timu kubwa nimekuulisa kivip unaanza kutoa sababu za kipopoma kuwa nikatafte Google
Kwani lazima nikujibu?? Au ni chuki kisa Yanga sio timu kubwa🙂....mbona unaleta na ww utopolo..najua unajua vigezo vya timu kuitwa kubwa so kama unavijua sina haja ya kukuelezea tena..naona kilichopo unataka tubishane Simba anavyo au hana...na kwa sbb ww tayari unajibu lako kuwa Simba hana kaa na jibu lako...na mimi acha nikae na jibu langu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…