sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Kuna jamaa wanadai eti.. narudi tena eti.. hii kasi aliyonayo Simba S.C [4G] ni nguvu ya soda tu.. Mzunguko wa pili wachezaji watakua wamechoka, pia majeruhi yatawaandama.. Hivyo lazma waanze kupoteana tu.
Nadhani wenye mawazo haya, hawatambui walinenalo.
Mpaka sasa Simba S.C kacheza mechi 13.. Nawashushia list ya wachezaji waliocheza mechi zote, ambao hawakumaliza dk. 90.. na ambao hawajacheza hata mechi moja.
Wapambanaji hawa wamecheza mechi zote 13.. Pia dakika zote.
1. Vincent Angban
2. Mohammed Hussein 'Tshabalala' 'Zimbwe Jr.'
3. Method Mwanjali
4. Jonas Mkude.
Majemedari hawa wameanza kikosi cha kwanza au waliingia kuongeza nguvu kipindi cha pili.
1. Janvier Besela Bokungu
2. Juuko Murshid
3. Shizza Kichuya
4. Muzamil Yassin
5. Frederick Blagnon
6. Laudit Mavugo
7. Ibrahim Ajibu
8. Mohammed Ibrahim
9. Mwinyi Kazimoto
10. Said Ndemla
11. Hamad Juma
12. Novaty Lufunga
13. Jamal Mnyate
14. Mussa Ndusha
15. Malika Ndeule
16. Ame Ally
Makomandoo hawa.. hawajaingia kabisa vitani.. Wanasubiri wapate nafasi, waoneshe mavituz yao.
1. Haji Ugando
2. Hassan Kabunda
3. Peter Mwalyanzi
4. Awadh Juma
5. Emmanuel Simwanza:
6. Abdi Banda
7. Peter Manyika
8. Denis Deonis
Ukiangalia kwa umakini mkubwa hizo list.. Utagundua Simba S.C hatuna mchezaji tegemeo.. yoyote anainguia katika kikosi cha kwanza na anafanya mambo.
Hivyo wale wanaotegemea sijui uchovu.. sijui majeruhi yatatupunguza kasi.. Na kua na kasi ya 2G kama ya wale jamaa ambao, akikosekana mchezaji mmoja tu, timu chali. wanakosea sana.