Simba hii bhana.. Ina kikosi 'kipana' hadi inakera.

Simba hii bhana.. Ina kikosi 'kipana' hadi inakera.

Breaking News: Hatimaye Baada ya Kuonjeshwa utamu na African Lyon Timu ya Simba Imeridhia tena KUPANULIWA kikosi chao KIPANA na Wanaume wa Mbeya a.k.a Prisons FC

CC: sembo
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Sasa unaanzisha uzi halafu unaukimbia ndio nini? Au na wewe ni mfuasi wa Clinton? Kelele nyingi wakati umetiwa upper cut chembe kidevu umeshakaa!!
 
7952acff07c0c3902101a61e6d2798a7.jpg

Namuona sembo na kibaiskeli chake
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom