Simba hii bhana.. Ina kikosi 'kipana' hadi inakera.

Simba hii bhana.. Ina kikosi 'kipana' hadi inakera.

[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Afadhali mtani tulikuwa na wasiwasi labda pana dhahma imekukuta pole kwa msiba yaliyo mkuta kiboko na mamba yamemkuta pia.Cha kusikitisha ni ile hali ya kujinasibisha na real Madrid mara juve ya kutokufungwa mechi itabidi uiandike upya maana hamna namna tena.
 
Keshachomwa mishikaki na digidigi, tena bila chumvi kaliwa mkia upo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe jamaa una vituko sana.
Dada Nifah huyu sembo jipe kazi ya kumfuatilia utamjua msimu uliopita mpaka watu wakafika upeo wa juu wa kufikiri na kudhani umauti umemkuta kumbe alikuwa eneo korofi la kujilazimisha ana tabu sana huyu mtani wetu.
 
Back
Top Bottom