Huyu upoteaji wake huanza hivi hivi atakuja na udhuru wa ajabu hapa mpaka tutatamani tumchangie rambirambi.
Huyu saa hizi yuko eneo korofi akirudi mnistue nna ujumbe wake
HONGERA SEMBO MROPOKAJI MBWABWAJAJI. ACTUALLY WEWE NDIYE UNAYEILETEA SIMBA NUKSI MIAKA YOTE!!!
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Najua uko eneo korofi ukirudi unitafute
Afadhali mtani tulikuwa na wasiwasi labda pana dhahma imekukuta pole kwa msiba yaliyo mkuta kiboko na mamba yamemkuta pia.Cha kusikitisha ni ile hali ya kujinasibisha na real Madrid mara juve ya kutokufungwa mechi itabidi uiandike upya maana hamna namna tena.[emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Tumeonaaa upana wa kikosiii
Tanzania Prisons kutoka MbeyaHongereni leo kwa kumpiga African Lyon!
Breaking News: Hatimaye Baada ya Kuonjeshwa utamu na African Lyon Timu ya Simba Imeridhia tena KUPANULIWA kikosi chao KIPANA na Wanaume wa Mbeya a.k.a Prisons FCBreaking News: Hatimaye African Lyon YAKIPANUA Kikosi KIPANA cha Simba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe jamaa una vituko sana.Huyu upoteaji wake huanza hivi hivi atakuja na udhuru wa ajabu hapa mpaka tutatamani tumchangie rambirambi.
Dada Nifah huyu sembo jipe kazi ya kumfuatilia utamjua msimu uliopita mpaka watu wakafika upeo wa juu wa kufikiri na kudhani umauti umemkuta kumbe alikuwa eneo korofi la kujilazimisha ana tabu sana huyu mtani wetu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe jamaa una vituko sana.
Huwezi kumpata muda huusembo upo?
Ndugu acha kujisumbua kum tag huyo mtu yupo eneo korofi hivi sasaπππππ
cc sembo
Umeharibu wino kum tag huyo kiumbe amekuwa adimu ghafla.cc sembo
Mtani yaani mambo yakienda halijojo ndio unaenda eneo korofi? ???Shukrani Mkuu.
Mkuu uwe unawekaga akiba ya maneno[emoji124] [emoji124] [emoji124]