[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Breaking News: Hatimaye Baada ya Kuonjeshwa utamu na African Lyon Timu ya Simba Imeridhia tena KUPANULIWA kikosi chao KIPANA na Wanaume wa Mbeya a.k.a Prisons FC
CC: sembo
Mtani vidole vimekuwa bubu maneno yameisha umekuwa mtaalamu wa emoj siku hizi?[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Huyu jamaa anajua kupotea huyu! gia yake kubwa atakwambia "wakuu nilikuwa eneo korofi "Sasa unaanzisha uzi halafu unaukimbia ndio nini? Au na wewe ni mfuasi wa Clinton? Kelele nyingi wakati umetiwa upper cut chembe kidevu umeshakaa!!
Ndio mana timu inapakatwa kila leo,mashabiki wenyewe kila siku wako eneo korofiHuyu jamaa anajua kupotea huyu! gia yake kubwa atakwambia "wakuu nilikuwa eneo korofi "