Kama hii ni kweli, mbona wanachama wameshindwa kumtoa Mangungu? Kiongozi anafikia kuleta mchezaji wa timu ya Far East kumpigia kampeni na wanachama wanaona ni hoja ya kumpasisha? Mjinga kiongozi au wanachama?Pole sana Ndugu kama hujui vitu njoo hata Inbox uulize tutakusaidia.
Viongozi wa selikali ndio wanazing'ang'ania hizo timu zenu. Hawataki wawekezaji hawataki wadhamini.
Selikali imezuia usajili wa wanachama wapya ndani ya Club mwaka wa tano huu.
Hawataki wanachama wapya, hawataki fikra mbadala hawataki Mawanzo mbadala wala viongozi wapya makusudi kabisa.
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE.
Ilishindwa kufa Yanga Bakuli, ije ife Simba hii???Mmezaliwa lini ndugu zetu hapo juu?
Si mara ya kwanza kwa Simba kuwa dhoofu kama ilivyo sasa...
Timu za Kariakoo huwa zinapishana kuwa juu, ni mara chache sana zote kuwa juu kimafanikio...
Kisiasa, hizi timu haziwezi kuwa na wawekezaji kamili... Yaani haziwezi milikiwa na mtu yeyote... Imagine timu ina wanachama 20m+... Hizo ni kura kabisa za kuweza muweka mtu madarakaniPole sana Ndugu kama hujui vitu njoo hata Inbox uulize tutakusaidia.
Viongozi wa selikali ndio wanazing'ang'ania hizo timu zenu. Hawataki wawekezaji hawataki wadhamini.
Selikali imezuia usajili wa wanachama wapya ndani ya Club mwaka wa tano huu.
Hawataki wanachama wapya, hawataki fikra mbadala hawataki Mawanzo mbadala wala viongozi wapya makusudi kabisa.
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE.
Mangungu ni mwanasiasa ana sauti gani pale Simba?Unajua try again anasimamoa biashara za nani?
Mangungu kawekwa na nani?
Vunja Bei aliwekwa na nani?
Kwanini mo katika wajumbe wa bodi lazima aweke wanasiasa.
Uliuliza watu ndani ya Simba watakwambia na hao wanasiasa ndio waliilazimisha tume ya ushindani kupitisha mchakato pamoja na kujua una walakini.
Simba kuna mgogoro ?Kipindi cha nyuma huko Simba inapokua na migogoro hua haiathiri sana performance uwanjani kwa sababu wachezaji walikua hawajiingizi kwenye hiyo migogoro tofauti na Yanga.
Lakini kipindi hiki unahisi hasa wachezaji nao wanachagua upande. Ni hatari kubwa hii.
Muombeni KARIA aisogeze mbele mechi ya tarehe 20/4 vinginevyo mazao ya hiyo mechi ni kukosa hata nafasi ya 4.
NI MTAZAMO TU.
Mgogoro upo viongozi wanaficha.Simba kuna mgogoro ?