Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kama hii ni kweli, mbona wanachama wameshindwa kumtoa Mangungu? Kiongozi anafikia kuleta mchezaji wa timu ya Far East kumpigia kampeni na wanachama wanaona ni hoja ya kumpasisha? Mjinga kiongozi au wanachama?Pole sana Ndugu kama hujui vitu njoo hata Inbox uulize tutakusaidia.
Viongozi wa selikali ndio wanazing'ang'ania hizo timu zenu. Hawataki wawekezaji hawataki wadhamini.
Selikali imezuia usajili wa wanachama wapya ndani ya Club mwaka wa tano huu.
Hawataki wanachama wapya, hawataki fikra mbadala hawataki Mawanzo mbadala wala viongozi wapya makusudi kabisa.
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE.