Mpira wa Jana na Dodoma Jiji Yes Tumeshinda lakini Mwanasimba yeyote hajafurahi sana kwa sbb uwezo wa kupass ulipotea kabisa jana. Hakuna mchezaji hata mmoja wa Simba aliyewez kuwa na utulivu. Simba why hawawez kufanya passing passing kuwa creative kwa maana hiyo michezo ya CAF inayokuja kazi tunayo aisee.
Mfumo wa 4-4-2 hautulipi kabisa.
Jana SAIDO hakuwa na utulivu kwa sbb ya mfumo why tusicheza na striker mmoja ili kubalance ktkt. Robertinho aambiwe kuwa timu inahtaj utulivu kuliko kubutuaaa tu
Mfumo wa 4-4-2 hautulipi kabisa.
Jana SAIDO hakuwa na utulivu kwa sbb ya mfumo why tusicheza na striker mmoja ili kubalance ktkt. Robertinho aambiwe kuwa timu inahtaj utulivu kuliko kubutuaaa tu