Naona watu wamechukulia kundi kirahisi ila mziki wa Berkane Kama unafuatilia mechi zao mpira wa kasi wanaocheza ni balaaSubiri mechi zianze ile round ya kwanza ndo itatupa majibu, kwenye hii level mambo huwa yanakuwa tofauti sana na matarajio ya wengi.
Mkuu umesahau juzi tu hapa Galaxy wamepata ushindi kwa Mkapa. Na hata red arrows bila changamoto ya uwanja game ingekuwa ni ngumuSijui lakini!! kwa kundi hili simba njia ni nyeupe kuingia robo fainali..kwa sababu sioni timu ya kuifunga simba hapa kwa mkapa ila naona simba inaweza kulazimisha draw hata mbili ugenini..
Timu ambayo kdogo itatusumbua ni Berkane,hao wengine tutawapelekea motoMimosas ni wazuri na wana historia, Berkane mnawafahamu ni noma ,hiyo timu ya Nigeria labda nafuu.
Ili Simba iongoze kundi inabidi ifanye nini...
Tutaipiga nje ndani Rs Berkane[emoji2960][emoji2960][emoji2960]Mimosas ni wazuri na wana historia, Berkane mnawafahamu ni noma ,hiyo timu ya Nigeria labda nafuu.
Ili Simba iongoze kundi inabidi ifanye nini...
hapo kwenye Berkane at least tuchukue hata point 3 Safi maana ndo pagumuTulitoboa kundi la Al Ahly, AS Vita, na Al Merrikh.
Wao pia walipoona Simba yupo kundi moja nao kihoro kimewapata.
Florent Ibenge ( RS Berkane) tushamtoa ×2 kwenye CAF CL tournaments.
Simba sc ni team imara, Inshallah tutatoboa.
Barkane mabingwa wa club bingwa Africa Mara ngapi?Naona watu wamechukulia kundi kirahisi ila mziki wa Berkane Kama unafuatilia mechi zao mpira wa kasi wanaocheza ni balaa
Umewakumbusha vzr sana.Tulitoboa kundi la Al Ahly, AS Vita, na Al Merrikh.
Wao pia walipoona Simba yupo kundi moja nao kihoro kimewapata.
Florent Ibenge ( RS Berkane) tushamtoa ×2 kwenye CAF CL tournaments.
Simba sc ni team imara, Inshallah tutatoboa.
Akizubaa tunabeba 6 au 4[emoji23][emoji23]hapo kwenye Berkane at least tuchukue hata point 3 Safi maana ndo pagumu
Simba tumeshawahi hadi kuongoza kundi mbele ya bingwa wa africa sembuse hawa tuliopangwa nao, simba sio tu inapita kwenye hilo kundi ila inapita kwa kishindo kwa kuongoza group D ikiwa na point zisizo pungua 12Naona watu wamechukulia kundi kirahisi ila mziki wa Berkane Kama unafuatilia mechi zao mpira wa kasi wanaocheza ni balaa
Huko tulishapita na ndiyo Maana tunaongelea makundi shirikisho. Wewe subiri kupokea na kusindikiza wageni pale airport. .Mkuu umesahau juzi tu hapa Galaxy wamepata ushindi kwa Mkapa. Na hata red arrows bila changamoto ya uwanja game ingekuwa ni ngumu