Simba hili kundi tutachukua points kwa nani?

Simba hili kundi tutachukua points kwa nani?

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Mimosas ni wazuri na wana historia, Berkane mnawafahamu ni noma ,hiyo timu ya Niger labda nafuu.

Ili Simba iongoze kundi inabidi ifanye nini?

Hii timu ya Niger ipigwe nje ndani,

Berkane na Mimosas wapigwe kwa mkapa draw away.

Au mahesabu yapangwe vipi?

Wale wa kidimbwi hii thread haiwahusu huwezi kumshauri aliyekuzidi mafanikio
View attachment 2060551
 
Sijui lakini!! kwa kundi hili simba njia ni nyeupe kuingia robo fainali..kwa sababu sioni timu ya kuifunga simba hapa kwa mkapa ila naona simba inaweza kulazimisha draw hata mbili ugenini..
Mkuu umesahau juzi tu hapa Galaxy wamepata ushindi kwa Mkapa. Na hata red arrows bila changamoto ya uwanja game ingekuwa ni ngumu
 
Yanga sijui na yeye asemeje ?😆
IMG_20211228_154545.jpg
 
Tulitoboa kundi la Al Ahly, AS Vita, na Al Merrikh.

Wao pia walipoona Simba yupo kundi moja nao kihoro kimewapata.

Florent Ibenge ( RS Berkane) tushamtoa ×2 kwenye CAF CL tournaments.

Simba sc ni team imara, Inshallah tutatoboa.
 
Tulitoboa kundi la Al Ahly, AS Vita, na Al Merrikh.

Wao pia walipoona Simba yupo kundi moja nao kihoro kimewapata.

Florent Ibenge ( RS Berkane) tushamtoa ×2 kwenye CAF CL tournaments.

Simba sc ni team imara, Inshallah tutatoboa.
hapo kwenye Berkane at least tuchukue hata point 3 Safi maana ndo pagumu
 
Naona watu wamechukulia kundi kirahisi ila mziki wa Berkane Kama unafuatilia mechi zao mpira wa kasi wanaocheza ni balaa
Simba tumeshawahi hadi kuongoza kundi mbele ya bingwa wa africa sembuse hawa tuliopangwa nao, simba sio tu inapita kwenye hilo kundi ila inapita kwa kishindo kwa kuongoza group D ikiwa na point zisizo pungua 12
Mark my words
 
Back
Top Bottom