Simba iachane na hawa wachezaji

Mapoyoyo hayoo
 
Reactions: BRN
Hujui mpira..kachambue rede..tuwaache ili muwachukue.
 
Saafi mtu wa boli wewe unajua
 
Reactions: Tsh
Hujui mpira..kachambue rede..tuwaache ili muwachukue.

MSIMU HUU HATUMUACHI MCHEZAJI YOYOTE YULE, MUTALE HAENDI KOKOTE IS THERE TO STAY AGELESS, THANK YOU.

Mapoyoyo hayoo

Hujui mpira..kachambue rede..tuwaache ili muwachukue.
WAJUKUU WANGU HAMUJUI BOLI NYIE...
 
Mashabiki wengi wa generation hii hawajui mpira. Maana hata chandim hawakucheza.

Lawama zote ziende kwa Mungai na ccm ambao waliamuwa kuondoa michezo mashuleni.

poleni.
 
Fact vingi umeongea ukweli nashindwa kuelewa mutale hivi kapatwa na mini

Pia kibu wakati mwingine acheze kitimu bado ana kaubinafsi pia binafsi naona kiungo cha okejepha na mavambo ndo kinaweza tuliza timu ila fadlu anaonekana kutokumkubali okejepha
Kabisa mutu ya boli
 
Sasa kama ni mwanao si itakua kaanza kuangalia boli juzi juzi au wewe wanao ni wazee?
 
Mutale kweli hana impact...ni machachari tu...siyo mchezaji hatari..labda ajirekebishe.....magazeti ya Tanzania yamemkuza sana...
Zile faulo alizichezewa zikazaa magoli hamuoni au impact mpaka kufunga

Hamuoni kuwa anasaidia kuwa direct kushambulia lango la mpinzani pia kusaidia majukumu ya ukabaji

Simba ya msimu hakuna mchezaji abiria uwanjani wote wanakaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…