Simba iachane na hawa wachezaji

Simba iachane na hawa wachezaji

Mwaka Huu tumeziba Masikio, Hatutambadilisha Mchezaji yeyote..!

Tumewashtukia nyie Utopolo.... !

Kwanza picha Linaanza mnawakosoa kwamba hawajui na kuwabeza sana Wachezaji wa Simba.

Halafu , Ghafla Usajili ukifungwa Yanga day tunashangaa Wale Wote mliowaponda ndo mmewajaza huko kwenu!
Na hili msibishe kwa kuwa Mwaka huu pekee mmemtambulisha Nungu nungu, Chama na Baleke... Sasa chokochoko zimeanza Kwa Kijili, Mutale...nk.

Hawa muwasahau kbs. Nyinyi endeleeni na Hao MEMKWA wenu....!
Mapoyoyo hayoo
 
  • Thanks
Reactions: BRN
1. Mutale - anacheza kama ana shoti kichwani, mbio nyingi output zero... ukiwa na mchezaji type hii ushindi wako utakuwa ni ule wa mafuluku na magoli ya papatu papatu... huwezi ku achieve sustainability. Huyu makocha wasijichoshe hafundishiki tena kwa level yake

2. Kijili - huyu naye ni kama anacheza akiwa amepigwa shoti. Ila kuna uwezekano makocha wakaongea naye abadilike, right back unapata mpira unakimbiza kama ngiri mkia juu... mipira ya kizamani.

3. Kibu Denis - Huyu angebaki kutalii ulaya, hana impact yeyote kwenye timu kwa sasa.

HAwa wafuatao waongeze work rate na wawe watulivu
1. Ahoua - Anacheza ki mvp sana atulize wenge apambane na kujituma zaidi, yupo soft sana

2. Balua - Atulize mawengeni

3. Ngoma - Dimba la kati linamuacha sujui ni umri

4. Mukwala - Huyu kocha akae naye chini anaonekana ana kitu

Hawa wapo safi sana nimewakubali

1. Ateba - aisee hili jamaa ni striker haswaa, amefunga goli gumu na hana papara. Yaani jamaa kama jini hivi akiwa kwenye D possibility ya kufanya maafa ni 85%

2. Okejepha, Awesu - Wapo safi sana
Hujui mpira..kachambue rede..tuwaache ili muwachukue.
 
Mutale ana tatizo kama la bodaboda, bodaboda asiye na akili, mbio mbio kila dakika. Ni kama mpira unamkokota yeye badala ya yeye kuucontrol. Anachosaidia ni kuchezewa rafu, sababu ya kukimbia kimbia na kutaka kupenya hata pasipohitajika kupenya anajikuta kamvaa adui refa anaona kachezewa rafu Simba inanufaika.

Kibu bado ana tatizo lile lile la mwaka jana ila ni msaada bado kwa Simba, anahitaji utulivu wa akili zaidi ila si wa kuachwa. Halafu ni kama tukio la kufeli majaribio huko nje bado halijamuacha.
Saafi mtu wa boli wewe unajua
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hujui mpira..kachambue rede..tuwaache ili muwachukue.
Mwaka Huu tumeziba Masikio, Hatutambadilisha Mchezaji yeyote..!

Tumewashtukia nyie Utopolo.... !

Kwanza picha Linaanza mnawakosoa kwamba hawajui na kuwabeza sana Wachezaji wa Simba.

Halafu , Ghafla Usajili ukifungwa Yanga day tunashangaa Wale Wote mliowaponda ndo mmewajaza huko kwenu!
Na hili msibishe kwa kuwa Mwaka huu pekee mmemtambulisha Nungu nungu, Chama na Baleke... Sasa chokochoko zimeanza Kwa Kijili, Mutale...nk.

Hawa muwasahau kbs. Nyinyi endeleeni na Hao MEMKWA wenu....!

MSIMU HUU HATUMUACHI MCHEZAJI YOYOTE YULE, MUTALE HAENDI KOKOTE IS THERE TO STAY AGELESS, THANK YOU.

Mapoyoyo hayoo

Hujui mpira..kachambue rede..tuwaache ili muwachukue.
WAJUKUU WANGU HAMUJUI BOLI NYIE...
 
1. Mutale - anacheza kama ana shoti kichwani, mbio nyingi output zero... ukiwa na mchezaji type hii ushindi wako utakuwa ni ule wa mafuluku na magoli ya papatu papatu... huwezi ku achieve sustainability. Huyu makocha wasijichoshe hafundishiki tena kwa level yake

2. Kijili - huyu naye ni kama anacheza akiwa amepigwa shoti. Ila kuna uwezekano makocha wakaongea naye abadilike, right back unapata mpira unakimbiza kama ngiri mkia juu... mipira ya kizamani.

3. Kibu Denis - Huyu angebaki kutalii ulaya, hana impact yeyote kwenye timu kwa sasa.

HAwa wafuatao waongeze work rate na wawe watulivu
1. Ahoua - Anacheza ki mvp sana atulize wenge apambane na kujituma zaidi, yupo soft sana

2. Balua - Atulize mawengeni

3. Ngoma - Dimba la kati linamuacha sujui ni umri

4. Mukwala - Huyu kocha akae naye chini anaonekana ana kitu

Hawa wapo safi sana nimewakubali

1. Ateba - aisee hili jamaa ni striker haswaa, amefunga goli gumu na hana papara. Yaani jamaa kama jini hivi akiwa kwenye D possibility ya kufanya maafa ni 85%

2. Okejepha, Awesu - Wapo safi sana
Mashabiki wengi wa generation hii hawajui mpira. Maana hata chandim hawakucheza.

Lawama zote ziende kwa Mungai na ccm ambao waliamuwa kuondoa michezo mashuleni.

poleni.
 
Fact vingi umeongea ukweli nashindwa kuelewa mutale hivi kapatwa na mini

Pia kibu wakati mwingine acheze kitimu bado ana kaubinafsi pia binafsi naona kiungo cha okejepha na mavambo ndo kinaweza tuliza timu ila fadlu anaonekana kutokumkubali okejepha
Kabisa mutu ya boli
 
Sasa kama ni mwanao si itakua kaanza kuangalia boli juzi juzi au wewe wanao ni wazee?
 
Mutale kweli hana impact...ni machachari tu...siyo mchezaji hatari..labda ajirekebishe.....magazeti ya Tanzania yamemkuza sana...
Zile faulo alizichezewa zikazaa magoli hamuoni au impact mpaka kufunga

Hamuoni kuwa anasaidia kuwa direct kushambulia lango la mpinzani pia kusaidia majukumu ya ukabaji

Simba ya msimu hakuna mchezaji abiria uwanjani wote wanakaba
 
Back
Top Bottom