Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Bora useme mkuuAteba anafunga mabao ya kuotea tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora useme mkuuAteba anafunga mabao ya kuotea tu!
Mapoyoyo hayooMwaka Huu tumeziba Masikio, Hatutambadilisha Mchezaji yeyote..!
Tumewashtukia nyie Utopolo.... !
Kwanza picha Linaanza mnawakosoa kwamba hawajui na kuwabeza sana Wachezaji wa Simba.
Halafu , Ghafla Usajili ukifungwa Yanga day tunashangaa Wale Wote mliowaponda ndo mmewajaza huko kwenu!
Na hili msibishe kwa kuwa Mwaka huu pekee mmemtambulisha Nungu nungu, Chama na Baleke... Sasa chokochoko zimeanza Kwa Kijili, Mutale...nk.
Hawa muwasahau kbs. Nyinyi endeleeni na Hao MEMKWA wenu....!
Ongezea InzaghiMagoli ya akili yale... mwangalie Rud van nesteroy utakubali... hata la jana halikuwa offside... mwanangu umeanza kwangalia boli lini?
Hujui mpira..kachambue rede..tuwaache ili muwachukue.1. Mutale - anacheza kama ana shoti kichwani, mbio nyingi output zero... ukiwa na mchezaji type hii ushindi wako utakuwa ni ule wa mafuluku na magoli ya papatu papatu... huwezi ku achieve sustainability. Huyu makocha wasijichoshe hafundishiki tena kwa level yake
2. Kijili - huyu naye ni kama anacheza akiwa amepigwa shoti. Ila kuna uwezekano makocha wakaongea naye abadilike, right back unapata mpira unakimbiza kama ngiri mkia juu... mipira ya kizamani.
3. Kibu Denis - Huyu angebaki kutalii ulaya, hana impact yeyote kwenye timu kwa sasa.
HAwa wafuatao waongeze work rate na wawe watulivu
1. Ahoua - Anacheza ki mvp sana atulize wenge apambane na kujituma zaidi, yupo soft sana
2. Balua - Atulize mawengeni
3. Ngoma - Dimba la kati linamuacha sujui ni umri
4. Mukwala - Huyu kocha akae naye chini anaonekana ana kitu
Hawa wapo safi sana nimewakubali
1. Ateba - aisee hili jamaa ni striker haswaa, amefunga goli gumu na hana papara. Yaani jamaa kama jini hivi akiwa kwenye D possibility ya kufanya maafa ni 85%
2. Okejepha, Awesu - Wapo safi sana
Saafi mtu wa boli wewe unajuaMutale ana tatizo kama la bodaboda, bodaboda asiye na akili, mbio mbio kila dakika. Ni kama mpira unamkokota yeye badala ya yeye kuucontrol. Anachosaidia ni kuchezewa rafu, sababu ya kukimbia kimbia na kutaka kupenya hata pasipohitajika kupenya anajikuta kamvaa adui refa anaona kachezewa rafu Simba inanufaika.
Kibu bado ana tatizo lile lile la mwaka jana ila ni msaada bado kwa Simba, anahitaji utulivu wa akili zaidi ila si wa kuachwa. Halafu ni kama tukio la kufeli majaribio huko nje bado halijamuacha.
KAbisa mzee mwenzangu... beki gani anapata mpira anakimbia kama paka amefungwa tairi la moto kwenye mkia... makocha wa viungo wakae naye chini anaweza kubadilikaKijilii ni baiskeli iliyokatika breki
Hujui mpira..kachambue rede..tuwaache ili muwachukue.
Mwaka Huu tumeziba Masikio, Hatutambadilisha Mchezaji yeyote..!
Tumewashtukia nyie Utopolo.... !
Kwanza picha Linaanza mnawakosoa kwamba hawajui na kuwabeza sana Wachezaji wa Simba.
Halafu , Ghafla Usajili ukifungwa Yanga day tunashangaa Wale Wote mliowaponda ndo mmewajaza huko kwenu!
Na hili msibishe kwa kuwa Mwaka huu pekee mmemtambulisha Nungu nungu, Chama na Baleke... Sasa chokochoko zimeanza Kwa Kijili, Mutale...nk.
Hawa muwasahau kbs. Nyinyi endeleeni na Hao MEMKWA wenu....!
MSIMU HUU HATUMUACHI MCHEZAJI YOYOTE YULE, MUTALE HAENDI KOKOTE IS THERE TO STAY AGELESS, THANK YOU.
Mapoyoyo hayoo
WAJUKUU WANGU HAMUJUI BOLI NYIE...Hujui mpira..kachambue rede..tuwaache ili muwachukue.
Safi mtu ya boli.. wewe unajua kuna viranga wasiojua Boli wanakuambia goli la jana la jini Ateba lilikuwa offsideOngezea Inzaghi
Chasambi aache pombe, ajifunze kwa Mo Ibrahim jinsi alivyopoteaHuwa nacheka sana nikimwona Mutale a.k.a Budo akiwa na mpira.
Najua kinachofuata ni kichekesho tu.
Chassambi ni bora mala elfu ya Mutale.
Mashabiki wengi wa generation hii hawajui mpira. Maana hata chandim hawakucheza.1. Mutale - anacheza kama ana shoti kichwani, mbio nyingi output zero... ukiwa na mchezaji type hii ushindi wako utakuwa ni ule wa mafuluku na magoli ya papatu papatu... huwezi ku achieve sustainability. Huyu makocha wasijichoshe hafundishiki tena kwa level yake
2. Kijili - huyu naye ni kama anacheza akiwa amepigwa shoti. Ila kuna uwezekano makocha wakaongea naye abadilike, right back unapata mpira unakimbiza kama ngiri mkia juu... mipira ya kizamani.
3. Kibu Denis - Huyu angebaki kutalii ulaya, hana impact yeyote kwenye timu kwa sasa.
HAwa wafuatao waongeze work rate na wawe watulivu
1. Ahoua - Anacheza ki mvp sana atulize wenge apambane na kujituma zaidi, yupo soft sana
2. Balua - Atulize mawengeni
3. Ngoma - Dimba la kati linamuacha sujui ni umri
4. Mukwala - Huyu kocha akae naye chini anaonekana ana kitu
Hawa wapo safi sana nimewakubali
1. Ateba - aisee hili jamaa ni striker haswaa, amefunga goli gumu na hana papara. Yaani jamaa kama jini hivi akiwa kwenye D possibility ya kufanya maafa ni 85%
2. Okejepha, Awesu - Wapo safi sana
Mo ibrahim hivi yuko wapiChasambi aache pombe, ajifunze kwa Mo Ibrahim jinsi alivyopotea
Kweli kabisa mzee mwenzanguMashabiki wengi wa generation hii hawajui mpira. Maana hata chandim hawakucheza.
Lawama zote ziende kwa Mungai na ccm ambao waliamuwa kuondoa michezo mashuleni.
poleni.
Kabisa mutu ya boliFact vingi umeongea ukweli nashindwa kuelewa mutale hivi kapatwa na mini
Pia kibu wakati mwingine acheze kitimu bado ana kaubinafsi pia binafsi naona kiungo cha okejepha na mavambo ndo kinaweza tuliza timu ila fadlu anaonekana kutokumkubali okejepha
Kama boka tuKAbisa mzee mwenzangu... beki gani anapata mpira anakimbia kama paka amefungwa tairi la moto kwenye mkia... makocha wa viungo wakae naye chini anaweza kubadilika
Na hii ndo maana halisi ya utopwinyoMousa camara yule kipa nae hatumtaki anatema sana mipira........
Zile faulo alizichezewa zikazaa magoli hamuoni au impact mpaka kufungaMutale kweli hana impact...ni machachari tu...siyo mchezaji hatari..labda ajirekebishe.....magazeti ya Tanzania yamemkuza sana...