Simba iachane na hawa wachezaji

Simba iachane na hawa wachezaji

Fact vingi umeongea ukweli nashindwa kuelewa mutale hivi kapatwa na mini

Pia kibu wakati mwingine acheze kitimu bado ana kaubinafsi pia binafsi naona kiungo cha okejepha na mavambo ndo kinaweza tuliza timu ila fadlu anaonekana kutokumkubali okejepha
Sio kutomkubali swala ni mfumo hao watu wawili hawawezi kucheza pamoja wote hao ni namba nane, lazima mmoja aanze na pure namba sita kama kagoma
 
Hapana mkuu okejepha alikuja kama namba 6 kiungo mkabaji okejepha hajawahi kuwa no 8 angalia
 
Attachments

  • Screenshot_20240928-182100_1727536888929.jpg
    Screenshot_20240928-182100_1727536888929.jpg
    150.9 KB · Views: 4
Mwaka Huu tumeziba Masikio, Hatutambadilisha Mchezaji yeyote..!

Tumewashtukia nyie Utopolo.... !

Kwanza picha Linaanza mnawakosoa kwamba hawajui na kuwabeza sana Wachezaji wa Simba.

Halafu , Ghafla Usajili ukifungwa Yanga day tunashangaa Wale Wote mliowaponda ndo mmewajaza huko kwenu!
Na hili msibishe kwa kuwa Mwaka huu pekee mmemtambulisha Nungu nungu, Chama na Baleke... Sasa chokochoko zimeanza Kwa Kijili, Mutale...nk.

Hawa muwasahau kbs. Nyinyi endeleeni na Hao MEMKWA wenu....!
Na safari hii tumeshtuka kweli. Labda wamchukue Fred Koublan na yule mwenzake waliekuwa wanabadilishana namba!
 
1. Mutale - anacheza kama ana shoti kichwani, mbio nyingi output zero... ukiwa na mchezaji type hii ushindi wako utakuwa ni ule wa mafuluku na magoli ya papatu papatu... huwezi ku achieve sustainability. Huyu makocha wasijichoshe hafundishiki tena kwa level yake

2. Kijili - huyu naye ni kama anacheza akiwa amepigwa shoti. Ila kuna uwezekano makocha wakaongea naye abadilike, right back unapata mpira unakimbiza kama ngiri mkia juu... mipira ya kizamani.

3. Kibu Denis - Huyu angebaki kutalii ulaya, hana impact yeyote kwenye timu kwa sasa.

HAwa wafuatao waongeze work rate na wawe watulivu
1. Ahoua - Anacheza ki mvp sana atulize wenge apambane na kujituma zaidi, yupo soft sana

2. Balua - Atulize mawengeni

3. Ngoma - Dimba la kati linamuacha sujui ni umri

4. Mukwala - Huyu kocha akae naye chini anaonekana ana kitu

Hawa wapo safi sana nimewakubali

1. Ateba - aisee hili jamaa ni striker haswaa, amefunga goli gumu na hana papara. Yaani jamaa kama jini hivi akiwa kwenye D possibility ya kufanya maafa ni 85%

2. Okejepha, Awesu - Wapo safi sana
Kibun Denis ndiye pumzi ya Simba sasa hiVi
 
Mimi ukinipa nafasi ya kuchomoa mchezaji yanga to simba ni max asee yule jamaa anajua ball haswa,anacheza kama navyofkria mimi nikiwa uwanjani oyaa👊✊
 
1. Mutale - anacheza kama ana shoti kichwani, mbio nyingi output zero... ukiwa na mchezaji type hii ushindi wako utakuwa ni ule wa mafuluku na magoli ya papatu papatu... huwezi ku achieve sustainability. Huyu makocha wasijichoshe hafundishiki tena kwa level yake

2. Kijili - huyu naye ni kama anacheza akiwa amepigwa shoti. Ila kuna uwezekano makocha wakaongea naye abadilike, right back unapata mpira unakimbiza kama ngiri mkia juu... mipira ya kizamani.

3. Kibu Denis - Huyu angebaki kutalii ulaya, hana impact yeyote kwenye timu kwa sasa.

HAwa wafuatao waongeze work rate na wawe watulivu
1. Ahoua - Anacheza ki mvp sana atulize wenge apambane na kujituma zaidi, yupo soft sana

2. Balua - Atulize mawengeni

3. Ngoma - Dimba la kati linamuacha sujui ni umri

4. Mukwala - Huyu kocha akae naye chini anaonekana ana kitu

Hawa wapo safi sana nimewakubali

1. Ateba - aisee hili jamaa ni striker haswaa, amefunga goli gumu na hana papara. Yaani jamaa kama jini hivi akiwa kwenye D possibility ya kufanya maafa ni 85%

2. Okejepha, Awesu - Wapo safi sana
Mutale na Iddy Nado wa Azam
images (14).jpeg
 
Kijilii ni baiskeli iliyokatika breki
Kijili yeye anajua kukimbia tu,ile siku ya mechi na al alhy tripoli kipindi balua anakimbia na mpira, kijili alikimbia kumpita balua akampita na beki bahati nzuri balua akatumia akili akafunga mwenyewe,kijili alipaswa kukaa sawa na balua siyo kukimbia kumzidi mwenye mpira ili kuepusha offside
 
Mwaka Huu tumeziba Masikio, Hatutambadilisha Mchezaji yeyote..!

Tumewashtukia nyie Utopolo.... !

Kwanza picha Linaanza mnawakosoa kwamba hawajui na kuwabeza sana Wachezaji wa Simba.

Halafu , Ghafla Usajili ukifungwa Yanga day tunashangaa Wale Wote mliowaponda ndo mmewajaza huko kwenu!
Na hili msibishe kwa kuwa Mwaka huu pekee mmemtambulisha Nungu nungu, Chama na Baleke... Sasa chokochoko zimeanza Kwa Kijili, Mutale...nk.

Hawa muwasahau kbs. Nyinyi endeleeni na Hao MEMKWA wenu....!
Memkwa haohao waliowakanda.
 
Back
Top Bottom