makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,171
- 3,461
Yanga hawana shida LI-MBUMBUMBU LOLOTE.MSIMU HUU HATUMUACHI MCHEZAJI YOYOTE YULE, MUTALE HAENDI KOKOTE IS THERE TO STAY AGELESS, THANK YOU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga hawana shida LI-MBUMBUMBU LOLOTE.MSIMU HUU HATUMUACHI MCHEZAJI YOYOTE YULE, MUTALE HAENDI KOKOTE IS THERE TO STAY AGELESS, THANK YOU.
Sio kutomkubali swala ni mfumo hao watu wawili hawawezi kucheza pamoja wote hao ni namba nane, lazima mmoja aanze na pure namba sita kama kagomaFact vingi umeongea ukweli nashindwa kuelewa mutale hivi kapatwa na mini
Pia kibu wakati mwingine acheze kitimu bado ana kaubinafsi pia binafsi naona kiungo cha okejepha na mavambo ndo kinaweza tuliza timu ila fadlu anaonekana kutokumkubali okejepha
WANA SHIDA NA TUKIMUACHA KESHO TU NYUMA MWIKO WANAMCHUKUA SO HAENDI POPOTE MUTALE.Yanga hawana shida LI-MBUMBUMBU LOLOTE.
Hapana mkuu okejepha alikuja kama namba 6 kiungo mkabaji okejepha hajawahi kuwa no 8 angaliaSio kutomkubali swala ni mfumo hao watu wawili hawawezi kucheza pamoja wote hao ni namba nane, lazima mmoja aanze na pure namba sita kama kagoma
Na safari hii tumeshtuka kweli. Labda wamchukue Fred Koublan na yule mwenzake waliekuwa wanabadilishana namba!Mwaka Huu tumeziba Masikio, Hatutambadilisha Mchezaji yeyote..!
Tumewashtukia nyie Utopolo.... !
Kwanza picha Linaanza mnawakosoa kwamba hawajui na kuwabeza sana Wachezaji wa Simba.
Halafu , Ghafla Usajili ukifungwa Yanga day tunashangaa Wale Wote mliowaponda ndo mmewajaza huko kwenu!
Na hili msibishe kwa kuwa Mwaka huu pekee mmemtambulisha Nungu nungu, Chama na Baleke... Sasa chokochoko zimeanza Kwa Kijili, Mutale...nk.
Hawa muwasahau kbs. Nyinyi endeleeni na Hao MEMKWA wenu....!
Kibun Denis ndiye pumzi ya Simba sasa hiVi1. Mutale - anacheza kama ana shoti kichwani, mbio nyingi output zero... ukiwa na mchezaji type hii ushindi wako utakuwa ni ule wa mafuluku na magoli ya papatu papatu... huwezi ku achieve sustainability. Huyu makocha wasijichoshe hafundishiki tena kwa level yake
2. Kijili - huyu naye ni kama anacheza akiwa amepigwa shoti. Ila kuna uwezekano makocha wakaongea naye abadilike, right back unapata mpira unakimbiza kama ngiri mkia juu... mipira ya kizamani.
3. Kibu Denis - Huyu angebaki kutalii ulaya, hana impact yeyote kwenye timu kwa sasa.
HAwa wafuatao waongeze work rate na wawe watulivu
1. Ahoua - Anacheza ki mvp sana atulize wenge apambane na kujituma zaidi, yupo soft sana
2. Balua - Atulize mawengeni
3. Ngoma - Dimba la kati linamuacha sujui ni umri
4. Mukwala - Huyu kocha akae naye chini anaonekana ana kitu
Hawa wapo safi sana nimewakubali
1. Ateba - aisee hili jamaa ni striker haswaa, amefunga goli gumu na hana papara. Yaani jamaa kama jini hivi akiwa kwenye D possibility ya kufanya maafa ni 85%
2. Okejepha, Awesu - Wapo safi sana
Wakikubali ntalala nje😂Mchukueni Mutale tupeni Max
Mutale na Iddy Nado wa Azam1. Mutale - anacheza kama ana shoti kichwani, mbio nyingi output zero... ukiwa na mchezaji type hii ushindi wako utakuwa ni ule wa mafuluku na magoli ya papatu papatu... huwezi ku achieve sustainability. Huyu makocha wasijichoshe hafundishiki tena kwa level yake
2. Kijili - huyu naye ni kama anacheza akiwa amepigwa shoti. Ila kuna uwezekano makocha wakaongea naye abadilike, right back unapata mpira unakimbiza kama ngiri mkia juu... mipira ya kizamani.
3. Kibu Denis - Huyu angebaki kutalii ulaya, hana impact yeyote kwenye timu kwa sasa.
HAwa wafuatao waongeze work rate na wawe watulivu
1. Ahoua - Anacheza ki mvp sana atulize wenge apambane na kujituma zaidi, yupo soft sana
2. Balua - Atulize mawengeni
3. Ngoma - Dimba la kati linamuacha sujui ni umri
4. Mukwala - Huyu kocha akae naye chini anaonekana ana kitu
Hawa wapo safi sana nimewakubali
1. Ateba - aisee hili jamaa ni striker haswaa, amefunga goli gumu na hana papara. Yaani jamaa kama jini hivi akiwa kwenye D possibility ya kufanya maafa ni 85%
2. Okejepha, Awesu - Wapo safi sana
Kijili yeye anajua kukimbia tu,ile siku ya mechi na al alhy tripoli kipindi balua anakimbia na mpira, kijili alikimbia kumpita balua akampita na beki bahati nzuri balua akatumia akili akafunga mwenyewe,kijili alipaswa kukaa sawa na balua siyo kukimbia kumzidi mwenye mpira ili kuepusha offsideKijilii ni baiskeli iliyokatika breki
Memkwa haohao waliowakanda.Mwaka Huu tumeziba Masikio, Hatutambadilisha Mchezaji yeyote..!
Tumewashtukia nyie Utopolo.... !
Kwanza picha Linaanza mnawakosoa kwamba hawajui na kuwabeza sana Wachezaji wa Simba.
Halafu , Ghafla Usajili ukifungwa Yanga day tunashangaa Wale Wote mliowaponda ndo mmewajaza huko kwenu!
Na hili msibishe kwa kuwa Mwaka huu pekee mmemtambulisha Nungu nungu, Chama na Baleke... Sasa chokochoko zimeanza Kwa Kijili, Mutale...nk.
Hawa muwasahau kbs. Nyinyi endeleeni na Hao MEMKWA wenu....!
Mmmh wewe sio mutu ya boli mjukuu...Kibun Denis ndiye pumzi ya Simba sasa hiVi
Max ni malii kweliiMimi ukinipa nafasi ya kuchomoa mchezaji yanga to simba ni max asee yule jamaa anajua ball haswa,anacheza kama navyofkria mimi nikiwa uwanjani oyaa👊✊