Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
I salute you.
Simba wamejiaibisha sana sana!
Michuano hiyo mepesi sana inashirikisha team dhaifu mno ambazo laiti Yanga na wenzao kina Al ahly, Mamelodi na Esperence wangeshiriki basi wangekuwa wanajipigia watu kila siku huko!
Sasa Simba wao wameshindwa hata kuvumilia kubana miguu wameachia huko huko kwa mwarabu yaani mwarabu na msuli wake kapiga mikwaju yake ya kutosha kawaacha waondoke!
Aibu sana wakuu shida ya Simba ipo hapa chini maana wanashindwa hata kuwafunga FC Constantine watawezaje kushiriki tena huku kwa wanaume CAFCL?
Hivi ukimuangalia Kibu Denis mwenye mwaka na miezi inakimbilia miaka miwili hajafunga goli unadhani walimuokota wapi kama sio Mbeya maporini huko?
Ukimuangalia Ahoua walimuokota wapi?
Hebu nenda kwa okajepha
Soma Pia: Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024