Simba iache kuokoteza wachezaji majalalani

Simba iache kuokoteza wachezaji majalalani

Costantine na MC Alger nani yuko juu kwenye msimamo kama sio mnapigilia msumari kwamba wenye akili ni wawili,wewe kweli kichwa chako ni pancha
 
Wee kenge roho inakuuma nini, jali mambo yako ya kiutopolo, ya simba kaa mbali nayo
 
Unapotaja mechi 2 point 0 pia uweke na aina ya michuano wanayocheza wenzenu na mnayocheza nyie ili tuweke kumbukumbu vizuri!
Ahaa kwa hyo michuano ya club bingwa afrika ni migumu kwenu.?🤣🤣🤣.vibonde sasa mbona mmeingia choo Cha kike.
SEMA Bora mmekiri
 
Vipi nyie mmeenda kutalii? Mlienda kufanya nini kwenye michuano ya rede si Bora mngebaki bunju!
Point 3 magoli 2.
Haya nyie.
 
Attachments

  • Screenshot_20241209-104423.png
    Screenshot_20241209-104423.png
    279.8 KB · Views: 3
Point 3 magoli 2.
Haya nyie.
Nimekwambia point 3 na magoli 2 uliyapata dhidi ya timu za aina Gani?
Ulinusurika kupiga na WA Angola kabla ya kigoli cha penalty kukubeba,,Aya kule Algeria umefunga kigoli cha alhamdulilah ata Tshabalala mwenyewe alishangaa amefungaje🤣🤣
 
Nyie hata hilo goli la penati hamnaa.
 
Nimeishihudia yanga ikicheza fainali ya kombe la shirikisho,,je Simba hii utafika fainali,Wana SIMBA hamna la kuongea mbele ya yanga mpaka mfike fainali,TUMEELEWANA?
 
Kweli nyie HAMNAZO! Wote mmecheza kwenye Nchi moja, kwa Waarabu, wote mmefungwa. Cha kushangaza, aliyefungwa 2:0, anajiona kafanya vizuri kuliko aliyefungwa 2:1.
Haya maneno yote yametoka wapi tena! Mimi nimeiongelea simba, ya kwamba haijawahi kufurukuta kwenye ardhi ya Waarabu! Yaani haina historia ya kushinda. Na kama nimesema uongo, unaweka tu ushahidi wako; halafu unakuwa mshindi.
 
Nimeishihudia yanga ikicheza fainali ya kombe la shirikisho,,je Simba hii utafika fainali,Wana SIMBA hamna la kuongea mbele ya yanga mpaka mfike fainali,TUMEELEWANA?
 
Back
Top Bottom