Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Yule kafarikiWakaroge/ wamtumie yule mganga wao aliewasaidia kuwafunga Waarabu na As Vita Club.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule kafarikiWakaroge/ wamtumie yule mganga wao aliewasaidia kuwafunga Waarabu na As Vita Club.
[emoji28][emoji28][emoji28],sasa itakuaje?Yule kafariki
Pole kwa kushtukaAisee
Simba katika ubora wao.
Kwaiyo unataka watu wooote wapende mikia sio[emoji848][emoji848]utopolo endeleeni kuhangaika!! simba ilishapiga hatua sana kwenye soka sidhani kama tutasikiliza mbinu zenu za vijiweni. simba sasahivi inapigana usiku kucha kuhakikisha jirani nae anacheza klabu bingwa mwakani kupitia mbeleke tunayoindaa sasahivi..... ko tulia mwakani mtaingia clab bingwa kwa mbeleko kama unabisha tunza uzi huu tutakumbushana!
Watapataje usingizi,wakati wanajijua Wana timu ya kuungaunga,ndiyo maana Wana kamati ya propaganda na uzushi dhidi ya[emoji881],sijui wiki hii watakuja na porojo gani dhidi ya [emoji881].Uto mnateseka sana.
Mnaongoza ligi ila hamlali usingizi.
Barbara mbona mnamuonea wivu sana Uto!Waruhusu mkude apige mzigo wa Barbra ndo aingie uwanjani.........Bila hivyo watavuna aibuu
Kwani hii wanayocheza ni nini bossSimba waruke sarakasi,wacheze judo uwanjani lakini this game hawataoboi,wasubiri play off
Wawa akicheza na mwenye speed utamkataa......Hakuna beki nchi kama wawa iliwa Ame atacheza basi ataanza na wawa
Lwanga nasikia vibali vyake vimekabilika na itv imefika nafikiri ataanza hapo kati
Kuanzisha washambuliaji wawili inabidi upunguze kiungo mmoja aidha mkabaji au kiungo mshambuliaji pendekeza sasa nani apungue ndemla ama bwalya
Itapendeza kama mksoni akicheza kutokea kati
Umemsaidia mkuu.......maana hawa vijana wa Rage ni changamotoninatumaini ulikuwa unamaanisha ITC.
Lwanga hajacheza muda mrefu itakuwa hatar kumuanzisha.Hakuna beki nchi kama wawa iliwa Ame atacheza basi ataanza na wawa