Habari wanabodi
Kwangu mimi kama mwanasimba nafikiria siku hiyo katikati acheze nyoni kuwaprotect onyango na wawa au onyango acheze na ame/nyoni ktkt acheze kapombe kusaidia kukaba. Lakini kule mbele tuwawekee kagere + mugalu toka mwanzo kwa sbb hatuna cha kupoteza tunhatj magoli mengi ya haraka haraka. Mwl asisubir dk zimeyoyoma kuwaweka watu wa wawili mbele. FC platinum inaoneakana wanaclose uwanja muda wote kwa hiyo nafasi za wazi za kufunga zinapotea. Dawa ya hii ni kuwawekea watu wawili mugalu the animal huwa hakosei. Kagere the fight muda halembi. Mwisho tukiwa hatuna mpira tukabe kweli kweli hasa kuanzia nyuma inaonekana wanaspeed kwenye kaunta. Na wachezaj wa simba wasiwe wabinafsi kuiua game, ugenini walikuwa wabinafsi kila wakipata nafasi wanataka kufunga hata kama hawapo kwenye nafasi nzuri...