Simba ifanyeje kuwauaa FC PLATINUM

Simba ifanyeje kuwauaa FC PLATINUM

Habari wanabodi

Kwangu mimi kama mwanasimba nafikiria siku hiyo katikati acheze nyoni kuwaprotect onyango na wawa au onyango acheze na ame/nyoni ktkt acheze kapombe kusaidia kukaba. Lakini kule mbele tuwawekee kagere + mugalu toka mwanzo kwa sbb hatuna cha kupoteza tunhatj magoli mengi ya haraka haraka. Mwl asisubir dk zimeyoyoma kuwaweka watu wa wawili mbele. FC platinum inaoneakana wanaclose uwanja muda wote kwa hiyo nafasi za wazi za kufunga zinapotea. Dawa ya hii ni kuwawekea watu wawili mugalu the animal huwa hakosei. Kagere the fight muda halembi. Mwisho tukiwa hatuna mpira tukabe kweli kweli hasa kuanzia nyuma inaonekana wanaspeed kwenye kaunta. Na wachezaj wa simba wasiwe wabinafsi kuiua game, ugenini walikuwa wabinafsi kila wakipata nafasi wanataka kufunga hata kama hawapo kwenye nafasi nzuri...
Formation yako ya 4-4-2 ni ya zamani sana.
 
Safari hii waingize mapaka mawili au matatu uwanjani siyo moja kama walivyofanya kwenye mechi dhidi ya Plateau!
 
Tunawunga As Vita mkude hakuwepo....mkude nae ni overrated Sana ukimwangalia style ya mkude anavyo receive Hadi anatoa pass anatumia Kama second 3 kufanya maamuzi
Hicho ndio kinawacost Simba wanakaa nq mpira muda mrefu mpaka adui anakuja kuziba nafasi ule mpira wa Fraga tumeumiss sana
 
Waruhusu mkude apige mzigo wa Barbra ndo aingie uwanjani.........Bila hivyo watavuna aibuu
 
Pacha ya Wawa na Onyango hawamuwezi Chikwende

Wawa + Nyoni hapo sawa

Au Wawa + Ame + Nyoni kama kiungo mkabaji
Mbona kama mnampaisha sana Chikwende? Huyo si ameifunga Simba kama Adam Adam anavyoifunga Simba tu? Katika mechi kama timu imepat goli, maana yake kuna mfungaji, lakini haimaanishi kuwa lazima mfungaji ndio mchezaji hatari kuliko wengine. Mbona hata Sarpong anafunga, naye anaweza kuitwa ni mchezaji hatari? Tuache ushamba
 
Mi naona mbinu mbadala ni kumkaba yule chikwende maana akisahaulika tu inakuwa mtihani
 
Ningalikuwa kocha ningemuita defensive midfielder yyte chemba kisha namwambia hakikisha unamuumiza chikwende dakika ya kwanza au ya pili ya mchezo. ki kawaida refa hapo ahatkupa njano kulingana na offence then diamond plutnum watatoka mchezoni kwa ssbu kama chikwende hatembei plutnum watafungwa kirahisi ila kama chikwende atamaliza mechi kun ahtihati ya suluhu ya 1:1au kwenda matuta......
Chikwende anashambulia.....anakaba......anafunga .....anaokoa......anaunganisha timu.....dawa yake ni kumtoa mapemaaaaaaaaaaaa koz wawa hamuwezi....onyango ni mzeee hana kasi ya Chikwe...labda shabalala atembee na naye vinginevyo Mkapa will turn in his grave hahaaaaaaaaaaaaaa

Mark this comment
 
Manyani mbona mnateseka sana?
20210102_221853.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom