Simba ifanyeje kuwauaa FC PLATINUM

labuda muingie na vichupi vinginevyo mnapigwa rais wa uganda
 
Simba waruke sarakasi,wacheze judo uwanjani lakini this game hawataoboi,wasubiri play off
 
Iwaombe yanga wajifanye wao ndio Simba,Platinum atakufa mapema sana.
 
Kwaiyo unataka watu wooote wapende mikia sio[emoji848][emoji848]
 
Uto mnateseka sana.
Mnaongoza ligi ila hamlali usingizi.
Watapataje usingizi,wakati wanajijua Wana timu ya kuungaunga,ndiyo maana Wana kamati ya propaganda na uzushi dhidi ya[emoji881],sijui wiki hii watakuja na porojo gani dhidi ya [emoji881].
 
Waruhusu mkude apige mzigo wa Barbra ndo aingie uwanjani.........Bila hivyo watavuna aibuu
Barbara mbona mnamuonea wivu sana Uto!

Nendeni mchukue nafasi yake Mkude awalambe
 
Wawa akicheza na mwenye speed utamkataa......
 
Lwanga hajacheza muda mrefu itakuwa hatar kumuanzisha.
 
Sema Bwalya ni fundi sana.
Kwangu mimi naona ndo Man of the Match.
Ana pasi fulani matata sana.

Mkude aendelee tuu kukaa kwa Mama ake kinondoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…