ngajapo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2012 Posts 1,782 Reaction score 3,525 Jan 6, 2021 #61 majirani hutawaona tena kwenye uzi huu
kidunula1 JF-Expert Member Joined Apr 2, 2016 Posts 6,305 Reaction score 6,341 Jan 6, 2021 #62 Nashukuru ushari wangu Wa kuingia na mapaka wameufanyia kazi na umewazalia matunda. Hii timu kwa kuroga imeshindikana!
Nashukuru ushari wangu Wa kuingia na mapaka wameufanyia kazi na umewazalia matunda. Hii timu kwa kuroga imeshindikana!
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,027 Reaction score 5,344 Jan 6, 2021 #63 kidunula1 said: Nashukuru ushari wangu Wa kuingia na mapaka wameufanyia kazi na umewazalia matunda. Hii timu kwa kuroga imeshindikana! Click to expand... Hivi juzi kati wakati Kaseke anatikisa Nyavu vs Prison mara ashike taulo, mara afukue chini alikuwa na maana gani. Halafu kama paka ni deal nanyi si mtumie
kidunula1 said: Nashukuru ushari wangu Wa kuingia na mapaka wameufanyia kazi na umewazalia matunda. Hii timu kwa kuroga imeshindikana! Click to expand... Hivi juzi kati wakati Kaseke anatikisa Nyavu vs Prison mara ashike taulo, mara afukue chini alikuwa na maana gani. Halafu kama paka ni deal nanyi si mtumie