Simba ijenge uwanja wake tu,maana kwa uchawi wa Yanga keshatia mguu KMC msitarajie mafanikio yoyote

Simba ijenge uwanja wake tu,maana kwa uchawi wa Yanga keshatia mguu KMC msitarajie mafanikio yoyote

Tunajua mbinu za yanga nje ya uwanja ni chafu na kali sana.

Tutaendelea kuona wachezaji bora wa Simba wakiumia na kujitibia muda mrefu,ama wakicheza chini ya kiwango kutokana na mbinu chafu za hii timu nje ya uwanja.

Hizi mambo ya kuchinja ng'ombe na kunywesha watu supu sio nzuri kabisa

Simba mtaendelea kubananga pamoja na kusajiki MVP ila hamtaona ubora wake kama vile tu ilitokea kwa Aubin Kramo na wengine kuonekana wazito kisha mnawaacha.

Yanga ni zaidi ya timu.Ni kikosi maalum cha waganga wa kienyeji
na sisi tutaendelea kukabia hapo hapo mpk mje kujua matatizo yenu haswa ni nini Yanga bingwa 10times in a row...
 
Wakati mnatimu nzuri hamkua na malalamiko haya ya kipuuzi, je yanga wakati huo hawakuwepo?

Tengenezeni tim nzuri ndo suluhu na si kulalamika.
Umemaliza kila kitu Chief, mashabiki wa simba wanatakiwa kukubali kua yanga kwa wakati huu ina quality players na sio kuamini yanga ina quality witches.
 
mi yanga tayari ninayo nataka yakwako ili tushindanishe mizimu tu...🤣
Mganga wangu ni habari nyingine, mwaka kabla haujaisha huu nataka nimnunulie ki IST cha kufatia dawa porini
 
Mganga wangu ni habari nyingine, mwaka kabla haujaisha huu nataka nimnunulie ki IST cha kufatia dawa porini
ndo unaenda kufirisika sasa wale wanapewa hela ya kiti tu zawadi zao ni mbuzi,kuku,kondoo ama pombe yakienyeji mizimu uipandishe IST unafikiri inapenda!. yakanyage utatoka relini..😂
 
Umemaliza kila kitu Chief, mashabiki wa simba wanatakiwa kukubali kua yanga kwa wakati huu ina quality players na sio kuamini yanga ina quality witches.
Ukweli wanaujua, ni vile wanaamua kujichetua tu.
 
Back
Top Bottom