Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kuhusu kutakatisha pesa .
Kijana utapotea jiangalie sana
Kijana utapotea jiangalie sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtakapokua na timu imara, naamini hizi stori za kulia lia zitatoweka.Manara ndo kahama na waganga wetu fala yule
na sisi tutaendelea kukabia hapo hapo mpk mje kujua matatizo yenu haswa ni nini Yanga bingwa 10times in a row...Tunajua mbinu za yanga nje ya uwanja ni chafu na kali sana.
Tutaendelea kuona wachezaji bora wa Simba wakiumia na kujitibia muda mrefu,ama wakicheza chini ya kiwango kutokana na mbinu chafu za hii timu nje ya uwanja.
Hizi mambo ya kuchinja ng'ombe na kunywesha watu supu sio nzuri kabisa
Simba mtaendelea kubananga pamoja na kusajiki MVP ila hamtaona ubora wake kama vile tu ilitokea kwa Aubin Kramo na wengine kuonekana wazito kisha mnawaacha.
Yanga ni zaidi ya timu.Ni kikosi maalum cha waganga wa kienyeji
uko wapi..?😂Sasa na Simba si waroge?? Kama hamna waganga wa maana semeni mpewe mganga.
Nakupigia nikupe namba ya mganga wa maana kabisa.....uko wapi..?😂
mi yanga tayari ninayo nataka yakwako ili tushindanishe mizimu tu...🤣Nakupigia nikupe namba ya mganga wa maana kabisa.....
Umemaliza kila kitu Chief, mashabiki wa simba wanatakiwa kukubali kua yanga kwa wakati huu ina quality players na sio kuamini yanga ina quality witches.Wakati mnatimu nzuri hamkua na malalamiko haya ya kipuuzi, je yanga wakati huo hawakuwepo?
Tengenezeni tim nzuri ndo suluhu na si kulalamika.
Mganga wangu ni habari nyingine, mwaka kabla haujaisha huu nataka nimnunulie ki IST cha kufatia dawa porinimi yanga tayari ninayo nataka yakwako ili tushindanishe mizimu tu...🤣
ndo unaenda kufirisika sasa wale wanapewa hela ya kiti tu zawadi zao ni mbuzi,kuku,kondoo ama pombe yakienyeji mizimu uipandishe IST unafikiri inapenda!. yakanyage utatoka relini..😂Mganga wangu ni habari nyingine, mwaka kabla haujaisha huu nataka nimnunulie ki IST cha kufatia dawa porini
Ukweli wanaujua, ni vile wanaamua kujichetua tu.Umemaliza kila kitu Chief, mashabiki wa simba wanatakiwa kukubali kua yanga kwa wakati huu ina quality players na sio kuamini yanga ina quality witches.
Hiyo timu imara watakuwa nayo watakapofanikiwa kuhamia kwenye ligi ya Zanzibar.Mtakapokua na timu imara, naamini hizi stori za kulia lia zitatoweka.