Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha Umenichekesha KweliPauln na siyo Paulin, Sina undugu na Teja
Kama umemsikia kocha Roberto juzi amesema fika mwakani anahitaji kikosi kilichokamilika kila nafasi wachezaji 2 ambao WAPO TAYARI KUCHEZA ,ambao viwango vyao vinashabihiana.Michuano ya Africa Super League itajumuisha team 8 ambazo zote zitapambana home and away. Hivyo Simba mwakani itacheza mechi 14 ngumu za Africa Super League. Simba kwa msimamo wa NBC league inayoendelea sasa hivi ni dhahiri ita qualify kushiriki CAF Club Championship msimu ujao, na kama itafika robo fainali (Ni kawaida yao kwa sasa hivi) msimu ujao itacheza mechi 12. NBC League TZ Simba inacheza mechi 30. Azam Confederation Cup angalau mechi 5, Mapinduzi Cup angalau mechi 3. Hapo utaona mwakani Simba itapaswa kucheza mechi za mashindano angalau 61, sijajumuisha pre season, mechi za kirafiki na Simba day. Hapo tukumbuke karibu Ist eleven yote ya team Wana majukumu ya kuchezea team za mataifa yao katika mechi za mashindano na kirafiki, na mwakani February Kuna Afcon.
Huyo ni shabiki wa nyuma mwikoKurahisisha mambo ijitoe ligi ya NBC si ndio Ina mechi nyingi ili ipate muda wa kujiandaa zaidi na super ligi
Yaani mashabiki wa Simba sijui mnajikutaga kina Nani sijui. Huko super ligi atacheza mwenyewe simba? Hao ataocheza nao nao wajitoe CAF na ligi zingine?
Hili swali halizihusu timu ambazo hazishiriki Super League, wala washabiki wake. Timu husika zitajiuliza zenyewe, sio ziuliziwe na wapokea wageni airportYaani mashabiki wa Simba sijui mnajikutaga kina Nani sijui. Huko super ligi atacheza mwenyewe simba? Hao ataocheza nao nao wajitoe CAF na ligi zingine?
Yeah kwenye usajili simba watapewa bilion 5.4 kwa ajili ya kusajili wa kucheza CAF superleague wale wazee wa upigaji kazi kwenu barbra hayuko pigeni tu hizo pesa mtuletee wakina junior lokosa wengneMsimu ujao michuano mipya, ambayo ndio ya hadhi ya juu zaidi katika ngazi ya vilabu Africa Super League inaanza. Ujio wa mashindano hayo hautafuta CAF Club Championship ambayo kwa msimu huu Simba bado inashiriki na tayari imeingia robo fainali...
Nimeingia kichwani mwako nikakuibia kile unachowaza. Usione aibu kuitaja timu yako, maisha mafupi haya.Kuna sehemu nimeandika Yanga? Wewe jamaa unaiwaza Yanga sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Paulin Zongo una undugu naye?
Msimu ujao michuano mipya, ambayo ndio ya hadhi ya juu zaidi katika ngazi ya vilabu Africa Super League inaanza. Ujio wa mashindano hayo hautafuta CAF Club Championship ambayo kwa msimu huu Simba bado inashiriki na tayari imeingia robo fainali.
Michuano ya Africa Super League itajumuisha team 8 ambazo zote zitapambana home and away. Hivyo Simba mwakani itacheza mechi 14 ngumu za Africa Super League. Simba kwa msimamo wa NBC league inayoendelea sasa hivi ni dhahiri ita qualify kushiriki CAF Club Championship msimu ujao, na kama itafika robo fainali (Ni kawaida yao kwa sasa hivi) msimu ujao itacheza mechi 12.
NBC League TZ Simba inacheza mechi 30. Azam Confederation Cup angalau mechi 5, Mapinduzi Cup angalau mechi 3. Hapo utaona mwakani Simba itapaswa kucheza mechi za mashindano angalau 61, sijajumuisha pre season, mechi za kirafiki na Simba day. Hapo tukumbuke karibu Ist eleven yote ya team Wana majukumu ya kuchezea team za mataifa yao katika mechi za mashindano na kirafiki, na mwakani February Kuna Afcon.
Ili Simba iweze kufsnya vizuri Africa Super League, na kwa afya nzuri ya wachezaji ikiwemo kupunguza injuries nashauri Simba ijitoe CAF Club Championship msimu ujao. Vinginevyo iruhusiwe kusajili kikosi kipana cha wachezaji 40, na foreigners waongezwe wafike 18, na Simba itumie fursa hiyo kusajili wachezaji wa viwango kweli kweli, u
Una shida sanaMsimu ujao michuano mipya, ambayo ndio ya hadhi ya juu zaidi katika ngazi ya vilabu Africa Super League inaanza. Ujio wa mashindano hayo hautafuta CAF Club Championship ambayo kwa msimu huu Simba bado inashiriki na tayari imeingia robo fainali.
Michuano ya Africa Super League itajumuisha team 8 ambazo zote zitapambana home and away. Hivyo Simba mwakani itacheza mechi 14 ngumu za Africa Super League. Simba kwa msimamo wa NBC league inayoendelea sasa hivi ni dhahiri ita qualify kushiriki CAF Club Championship msimu ujao, na kama itafika robo fainali (Ni kawaida yao kwa sasa hivi) msimu ujao itacheza mechi 12.
NBC League TZ Simba inacheza mechi 30. Azam Confederation Cup angalau mechi 5, Mapinduzi Cup angalau mechi 3. Hapo utaona mwakani Simba itapaswa kucheza mechi za mashindano angalau 61, sijajumuisha pre season, mechi za kirafiki na Simba day. Hapo tukumbuke karibu Ist eleven yote ya team Wana majukumu ya kuchezea team za mataifa yao katika mechi za mashindano na kirafiki, na mwakani February Kuna Afcon.
Ili Simba iweze kufsnya vizuri Africa Super League, na kwa afya nzuri ya wachezaji ikiwemo kupunguza injuries nashauri Simba ijitoe CAF Club Championship msimu ujao. Vinginevyo iruhusiwe kusajili kikosi kipana cha wachezaji 40, na foreigners waongezwe wafike 18, na Simba itumie fursa hiyo kusajili wachezaji wa viwango kweli kweli, sio akina Quattar.
Mpaka fainali ni mechi 6 mkuu maana ni home anda awaysuper league n team 8 ,lakini inachezwa kwa knock out ...kuna port A na B ...ina maana mashndano hayatakua na mech nying kama mnavosema maana akitolewa mech ya kwanza ndio imeisha hvo na akifika fainali n mech kama 3 had 4 ..kwahiyo haiwez kujitoa
kweli akili mali,kombe ambalo hata siku ikitokea mungu si asumani ukacheza nusu fainali ni mafanikio ya kiwango cha juu ambayo haijapata kutokea kwa klabu ndo ukajitoe kweli!!!Msimu ujao michuano mipya, ambayo ndio ya hadhi ya juu zaidi katika ngazi ya vilabu Africa Super League inaanza. Ujio wa mashindano hayo hautafuta CAF Club Championship ambayo kwa msimu huu Simba bado inashiriki na tayari imeingia robo fainali.