mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
Mzito sana, kitu ambacho hakipendelewi kwa beki wa katiHuyo Outtara ana shinda gani na wewe au amekuchukulia demu wako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzito sana, kitu ambacho hakipendelewi kwa beki wa katiHuyo Outtara ana shinda gani na wewe au amekuchukulia demu wako?
Mtoa mada acha upotoshaji Africa super league itakuwa ya mtindo wa mtoano yaani robo, nusu na fainali kwaiyo ni mechi 6 tu kama timu itafanikiwa kufika fainali
View attachment 2567209
super league n team 8 ,lakini inachezwa kwa knock out ...kuna port A na B ...ina maana mashndano hayatakua na mech nying kama mnavosema maana akitolewa mech ya kwanza ndio imeisha hvo na akifika fainali n mech kama 3 had 4 ..kwahiyo haiwez kujitoa
Mpaka fainali ni mechi 6 mkuu maana ni home anda away
Hata kwa kutumia logic ndogo, CAF watoe sh bilioni 5 kwa kila timu kwa ajili ya maandalizi na usajili, halafu timu icheze mechi moja na kutolewa. ???super league n team 8 ,lakini inachezwa kwa knock out ...kuna port A na B ...ina maana mashndano hayatakua na mech nying kama mnavosema maana akitolewa mech ya kwanza ndio imeisha hvo na akifika fainali n mech kama 3 had 4 ..kwahiyo haiwez kujitoa
Kaka, unakumbuka hoja hii?Hata kwa kutumia logic ndogo, CAF watoe sh bilioni 5 kwa kila timu kwa ajili ya maandalizi na usajili, halafu timu icheze mechi moja na kutolewa. ???
Kumbuka hii ni league na sio knock out
Mpaka sasa hesabu ya AFL imeshafungwa kwa Simba kuishia kucheza mechi mbili tu. Ila tuje kwenye msingi wako wa hojaMsimu ujao michuano mipya, ambayo ndio ya hadhi ya juu zaidi katika ngazi ya vilabu Africa Super League inaanza. Ujio wa mashindano hayo hautafuta CAF Club Championship ambayo kwa msimu huu Simba bado inashiriki na tayari imeingia robo fainali.
Michuano ya Africa Super League itajumuisha team 8 ambazo zote zitapambana home and away. Hivyo Simba mwakani itacheza mechi 14 ngumu za Africa Super League. Simba kwa msimamo wa NBC league inayoendelea sasa hivi ni dhahiri ita qualify kushiriki CAF Club Championship msimu ujao, na kama itafika robo fainali (Ni kawaida yao kwa sasa hivi) msimu ujao itacheza mechi 12.
NBC League TZ Simba inacheza mechi 30. Azam Confederation Cup angalau mechi 5, Mapinduzi Cup angalau mechi 3. Hapo utaona mwakani Simba itapaswa kucheza mechi za mashindano angalau 61, sijajumuisha pre season, mechi za kirafiki na Simba day. Hapo tukumbuke karibu Ist eleven yote ya team Wana majukumu ya kuchezea team za mataifa yao katika mechi za mashindano na kirafiki, na mwakani February Kuna Afcon.
Ili Simba iweze kufsnya vizuri Africa Super League, na kwa afya nzuri ya wachezaji ikiwemo kupunguza injuries nashauri Simba ijitoe CAF Club Championship msimu ujao. Vinginevyo iruhusiwe kusajili kikosi kipana cha wachezaji 40, na foreigners waongezwe wafike 18, na Simba itumie fursa hiyo kusajili wachezaji wa viwango kweli kweli, sio akina Quattar.