Simba ijitoe CAF Club Champions 2023/2024

Kurahisisha mambo ijitoe ligi ya NBC si ndio Ina mechi nyingi ili ipate muda wa kujiandaa zaidi na super ligi

Yaani mashabiki wa Simba sijui mnajikutaga kina Nani sijui. Huko super ligi atacheza mwenyewe simba? Hao ataocheza nao nao wajitoe CAF na ligi zingine?
 
Kama umemsikia kocha Roberto juzi amesema fika mwakani anahitaji kikosi kilichokamilika kila nafasi wachezaji 2 ambao WAPO TAYARI KUCHEZA ,ambao viwango vyao vinashabihiana.

Kwa hiyo ukiwa na hao 24 na 6 wengine wa reserve hata zikiwa mechi 50 kwa msimu lazima utatoboa.

Ni kweli Simba mwakani kamati ya Usajili pamoja na hii ya scouting wana kazi ngumu kutafuta wachezaji.
 
Huyo ni shabiki wa nyuma mwiko
 
Yaani mashabiki wa Simba sijui mnajikutaga kina Nani sijui. Huko super ligi atacheza mwenyewe simba? Hao ataocheza nao nao wajitoe CAF na ligi zingine?
Hili swali halizihusu timu ambazo hazishiriki Super League, wala washabiki wake. Timu husika zitajiuliza zenyewe, sio ziuliziwe na wapokea wageni airport
 
Msimu ujao michuano mipya, ambayo ndio ya hadhi ya juu zaidi katika ngazi ya vilabu Africa Super League inaanza. Ujio wa mashindano hayo hautafuta CAF Club Championship ambayo kwa msimu huu Simba bado inashiriki na tayari imeingia robo fainali...
Yeah kwenye usajili simba watapewa bilion 5.4 kwa ajili ya kusajili wa kucheza CAF superleague wale wazee wa upigaji kazi kwenu barbra hayuko pigeni tu hizo pesa mtuletee wakina junior lokosa wengne
 
Kuna sehemu nimeandika Yanga? Wewe jamaa unaiwaza Yanga sana
Nimeingia kichwani mwako nikakuibia kile unachowaza. Usione aibu kuitaja timu yako, maisha mafupi haya.

Kiukweli Yanga mkiendelea kupambana huko losers cup na mkatumia na wanasiasa wenu mnaweza kufikiriwa maana nimesikia timu zinaweza kuwa 24, na maximum ya timu 3 kutoka nchi moja. Ndiyo maana sitanii ninaposema pambaneni.

Kuna timu kubwa kama Simba ambazo zimeshahakikishiwa kushikiri halafu kuna timu ndogo ndogo zilizoibuka hivi karibuni kama Yanga ambazo zinaweza kuongezwa.
 
Uchambuzi yakinifu kutoka kwa paulina
akichambua kutoka matombo morogoro
 
Mtoa mada acha upotoshaji Africa super league itakuwa ya mtindo wa mtoano yaani robo, nusu na fainali kwaiyo ni mechi 6 tu kama timu itafanikiwa kufika fainali
 

Una shida sana
 
super league n team 8 ,lakini inachezwa kwa knock out ...kuna port A na B ...ina maana mashndano hayatakua na mech nying kama mnavosema maana akitolewa mech ya kwanza ndio imeisha hvo na akifika fainali n mech kama 3 had 4 ..kwahiyo haiwez kujitoa
 
super league n team 8 ,lakini inachezwa kwa knock out ...kuna port A na B ...ina maana mashndano hayatakua na mech nying kama mnavosema maana akitolewa mech ya kwanza ndio imeisha hvo na akifika fainali n mech kama 3 had 4 ..kwahiyo haiwez kujitoa
Mpaka fainali ni mechi 6 mkuu maana ni home anda away
 
kweli akili mali,kombe ambalo hata siku ikitokea mungu si asumani ukacheza nusu fainali ni mafanikio ya kiwango cha juu ambayo haijapata kutokea kwa klabu ndo ukajitoe kweli!!!
YANI KUTOKA KWENYE MBILI KWENDA TATU PANAKUSHINDA UNATAKA KUMI...hapo kwanza ncheke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…