Gen z hawa waachwe tu mnawapa vitu vinavyowazidi umri kuchambua mtawauautoto raha...
Remember that is #DERBY so kila Team hua ina plan tofauti na wachezaji hua wana Ari tofauti sana na match za namna hiiHabar wakuu,
Siwezi kuafiki ya kuwa simba ataigunga yanga tarehe 5 yaani hata kwa kunyoshewa mtutu mie nitaendelea kupinga tu.
Yaani kwa yanga hii yenye
High quality player
- Kipa bora
- Beki bora
- Viungo wa kati bora
- Viungo wa pembeni bora
Plus good performance
Yaani naona simba ikijitahidi sana anatoa draw tu, asiyekubali atakubali siku ya tarehe 5
Na siku zote zinatoka kwa nyani wa pori la utopoloNyuzi za mtu kutaka kupigwa ban ni utoto na ushamba pia.
Naona umesajiri hii ID maalum, kwa ajiri ya Yanga! Kila ikicheza, basi unafungua uzi, ukiomba ikifungwa, upigwe ban!Habar wakuu,
Siwezi kuafiki ya kuwa simba ataifunga yanga tarehe 5 yaani hata kwa kunyoshewa mtutu mie nitaendelea kupinga tu.
Yaani kwa yanga hii yenye
High quality player
- Kipa bora
- Beki bora
- Viungo wa kati bora
- Viungo wa pembeni bora
Plus good performance
Yaani naona simba ikijitahidi sana anatoa draw tu, asiyekubali atakubali siku ya tarehe 5
Mue mnaacha kuongea vitu msivyopenda kufanyiwa. Sisi tutakukumbusha ili na wewe uwakumbushe moderators wakupige hiyo spana unayotaka.Habar wakuu,