Simba ikiifunga Yanga naomba nipigwe ban

Simba ikiifunga Yanga naomba nipigwe ban

baba aura

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2023
Posts
254
Reaction score
393
Habar wakuu,

Siwezi kuafiki ya kuwa Simba ataifunga yanga tarehe 5 yaani hata kwa kunyoshewa mtutu mie nitaendelea kupinga tu.

Yaani kwa Yanga hii yenye

High quality player
  • Kipa bora
  • Beki bora
  • Viungo wa kati bora
  • Viungo wa pembeni bora

Plus good performance

Yaani naona Simba ikijitahidi sana anatoa draw tu, asiyekubali atakubali siku ya tarehe 5.
 
Habar wakuu,

Siwezi kuafiki ya kuwa simba ataigunga yanga tarehe 5 yaani hata kwa kunyoshewa mtutu mie nitaendelea kupinga tu.

Yaani kwa yanga hii yenye

High quality player
  • Kipa bora
  • Beki bora
  • Viungo wa kati bora
  • Viungo wa pembeni bora

Plus good performance

Yaani naona simba ikijitahidi sana anatoa draw tu, asiyekubali atakubali siku ya tarehe 5
Remember that is #DERBY so kila Team hua ina plan tofauti na wachezaji hua wana Ari tofauti sana na match za namna hii
 
Habar wakuu,

Siwezi kuafiki ya kuwa simba ataifunga yanga tarehe 5 yaani hata kwa kunyoshewa mtutu mie nitaendelea kupinga tu.

Yaani kwa yanga hii yenye

High quality player
  • Kipa bora
  • Beki bora
  • Viungo wa kati bora
  • Viungo wa pembeni bora

Plus good performance

Yaani naona simba ikijitahidi sana anatoa draw tu, asiyekubali atakubali siku ya tarehe 5
Naona umesajiri hii ID maalum, kwa ajiri ya Yanga! Kila ikicheza, basi unafungua uzi, ukiomba ikifungwa, upigwe ban!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Ni ukweli ulio wazi, ndani ya hii miaka mitatu, Yanga imekuwa na kikosi bora ukilinganisha na wadogo zao simba. Na ndiyo maana imeweza kuchukua ubingwa wa Ligi kuu kwa mara mbili mfululizo.

Ila unapokuja kwenye mechi zao za Derby, siku zote mchezo huamuliwa na ile timu itakayokuja na mpango mkakati wa kupata matokeo ndani ya dakika 90! Na siyo kutokana na ubora wa wachezaji.

So kwa upande wangu naamini mchezo wa kesho hautakuwa mwepesi. Ingawa nina imani na timu yangu ya Wananchi. Ushindi ni munimu ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kuutetea ubingwa kwa mara nyingine tena.
 
Habar wakuu,

Siwezi kuafiki ya kuwa simba ataifunga yanga tarehe 5 yaani hata kwa kunyoshewa mtutu mie nitaendelea kupinga tu.

Yaani kwa yanga hii yenye

High quality player
  • Kipa bora
  • Beki bora
  • Viungo wa kati bora
  • Viungo wa pembeni bora

Plus good performance

Yaani naona simba ikijitahidi sana anatoa draw tu, asiyekubali atakubali siku ya tarehe 5
Mue mnaacha kuongea vitu msivyopenda kufanyiwa. Sisi tutakukumbusha ili na wewe uwakumbushe moderators wakupige hiyo spana unayotaka.
 
Tukiweka nukuu ya Manara kuwa wenyeakili ni wawili.

Vitabu vya kihistoria vya TANU kuwa hawakwenda shule +
Na Nukuu ya Luc mnakasirika.

Simba hii hii iliyocheza na Alhly juzi huiogopi??????
Either hujui mpira au utakuwa mtoto.
 
Huwa mnapata wapi ujasiri wa kuwa na matokeo mfukoni?

Unadhani Simba ni dhaifu kiasi kwamba yanga atajipigia tu?
 
Back
Top Bottom