Simba ikikaribia kupata mgao wa CAF lazima Mohamed Dewji aibuke

Simba ikikaribia kupata mgao wa CAF lazima Mohamed Dewji aibuke

Hmmm nakufumaniaga sehem nying sana sema mtani na ww unapenda choko choko ๐Ÿคฃ
Na wanasema chokochoko mchokoe pweza, binadamu hutomuweza ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kama kweli nina chokochoko, naacha mtani. Nimekosa mimi na nimekosa sana...
 
Ndio uelewa, Simba na Yanga zinamilikiwa na serikali, na Sheikh Karume ndio alitowa pesa za hayo majengo ya hizo club Jangwani na Msimbazi.

Sunderland ndio ilikuwa timu ya Waarabu serikali wakaipora kutoka kwa wamiliki wakaibadili jina na ikapewa jina la Kawawa Simba wa Vita.

Mo Dewji anaujuwa ukweli na GSM wanaujuwa ukweli, wanakula na vipofu lakini wenye timu wenyewe halisi wapo, au muulize Manji atakueleza vizuri.
Kumbuka nilikuwepo wakati Karume anatowa hizo pesa, wewe unasikia na kuyasoma tu, labda nikujuze wewe.
 
Atuachie timu yetu kwani yeye kafanya mangapi kupitia simba katangaza biashara kibao kupitia simba.

Kama hapati faida wakae chini na viongozi hatutaki mapenzi yake na timu ndio iwe fimbo kwetu.
Siyo bure, UMETUMWA na Kigwangala nadhani.
Midomo mirefu utadhani kuna unachochangia kwenye timu. Hata katoni moja tu ya maji ya uhai hujawahi na huna uwezo wa kutoa kwa timu.
Ufedhuli tu umekujaa wewe UTOPOLO.
Ningekusifu sana kama ungesema unataka sasa uifadhili club badala ya MO.
 
Mo anaoambana sana pale Simba.ila Kuna vijana hawana nidhamu wanabeza juhudi za mo.

Hawajui timu inafanya yote hayo kama safari za mechi za ugenini na nje ya nchi ni mwendo WA ndege tu. Hamjui kama hizo Hela anatoa mo dewji....??

Kuna vitoto vipuuzi humu eti mo tapeli anainyonya Simba
Sasa kama huyo Mo anagharamia pesa zote kwenye klabu yenu, zile pesa ngingine za mapato ya mlangoni, mapato yatokanayo na jezi, mdhamini Azam, Mbet (bilion 4 kila mwaka), matangazo ya bidhaa za mwekezaji kwenye jezi za timu, nk

Huwa zinafanyia nini?
 
Kumbe FaizaFoxy ni mnyama...karibu bibi unyamani ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
 
Unataka kusemaje mkubwa mbona unaandika huku utetemeka hebu jiulize simba imeanza kushiriki michuano ya kimataifa miaka mingapi je kabla ya hapo walikua wanaenda na malori nini hizo nchi.
Miaka karibia yote Simba inacheza mechi ya awali na kutoka mapema...mechi Moja
Out mara ya mwisho 2003 na kipindi hicho kassim mfadhili
 
Tunawsjuwa sana kuliko unavyofikiria.

Kwanza tusi generalise kuhusu Wahindi. Wahindi wapo wa makabila nanjamii na lugha tofauti tofauti kukiko unavyofikiria.

Hapa tumuongelee Mo. Kazaliwa Tanzania, tena Singida, kakulia singida mpaka alivyikwendankujiendelezankwa masomo yake huko USA. Alipirudi hakukaa sana akajiingiza kwenye siasa na hatimae akawa mbunge wa Singida.

Akafanya biashara zake, zimekuwa ni mfano kwa Africa mpaka nchi zingine nje ya Tanzania zimempa nyadhifa kwa uwezo wake. Nengi mengineyo ni haya tunayasoma kila siku kwenye media.

Tumjuwe vipi zaidi utakavyo?
Aisee mbona Mali alizikuta kwa Baba yake? na yeye alisha declare hilo?
 
Sasa kama huyo Mo anagharamia pesa zote kwenye klabu yenu, zile pesa ngingine za mapato ya mlangoni, mapato yatokanayo na jezi, mdhamini Azam, Mbet (bilion 4 kila mwaka), matangazo ya bidhaa za mwekezaji kwenye jezi za timu, nk

Huwa zinafanyia nini?
Zinalipa Mishahara.
 
Tunawsjuwa sana kuliko unavyofikiria.

Kwanza tusi generalise kuhusu Wahindi. Wahindi wapo wa makabila nanjamii na lugha tofauti tofauti kukiko unavyofikiria.

Hapa tumuongelee Mo. Kazaliwa Tanzania, tena Singida, kakulia singida mpaka alivyikwendankujiendelezankwa masomo yake huko USA. Alipirudi hakukaa sana akajiingiza kwenye siasa na hatimae akawa mbunge wa Singida.

Akafanya biashara zake, zimekuwa ni mfano kwa Africa mpaka nchi zingine nje ya Tanzania zimempa nyadhifa kwa uwezo wake. Nengi mengineyo ni haya tunayasoma kila siku kwenye media.

Tumjuwe vipi zaidi utakavyo?
Kama humjui Ghullum Dewji, basi usiandike chochote kuhusu Mwamedi Dewji, humjui.
 
Kama mashabiki wa Simba hakika tumekubali unyonge sema tu hakuna la kumfanya huyu big boss wetu, naye ameshalijua hilo. Anaongea analojisikia, anafanya analojisikia, mara Rais wa heshima, akajipa na hicho cheo au wanachama wenzangu tulimpa hicho cheo kwenye kikao gani?

Jana Boss mkubwa alisikika akisema Simba inamtia hasara na kama isingekuwa Simba hakika angekuwa na ndege zake kadhaa kama Emirates ila kinachomkwamisha kumiliki Airbus kadhaa ni Simba.

Anakuja na hesabu zake za magazijuto ambazo hata hazieleweki kabisa; mara nimetoa bilioni 1.5 kwa ajili ya usajili, jiulize ni chezaji gani la Simba pale limesajiliwa hata kwa milioni 100 au mnataka Sawadogo? It's ok, boss wewe, sawa tu, sijui watuonaje.

Ukitaka kugombana na boss muulize vipi kuhusu zile bilionI 20 atapiga hesabu zake za magazijuto na kukwambia tayari nimeshatumia bilioni 50 za kwangu toka mfukoni. Hakika Kigwangala adumu zaidi, nahisi alishaona harufu ya kupigwa. Na sisi mashabiki hatujawahi kuuliza hata taarifa ya mapato na matumizi, mbaya zaidi tunamlinda boss mkubwa.

Swali dogo, kama Simba inampa hasara kwanini asikae pending akaachia wengine?

Asilimia kubwa ya Tajiri, ngonjera zake zinaanza akishahisi mpunga wa CAF unataka kuingia. Baada ya kuingia robo, kuna salio Simba inapokea, bilioni kadhaa. Hapo hesabu ni ndogo tu jana kasema katumia Bilion kadhaa kwa usajili, kwa hiyo atajilipa kupitia Bilion za CAF. Natumai huo mpunga unaingia kwenye akaunti yake na hakuna wa kuhoji.

Waacha tuendelee kupigwa, tumechagua upande wa kupigwa.
Wacha awanyonye.
 
Back
Top Bottom