Simba ikimfunga Yanga leo nipigwe Ban ya Mwezi Mzima

Simba ikimfunga Yanga leo nipigwe Ban ya Mwezi Mzima

Hizi teams zina mambo ya kipuuzi sana lakini nashukuru YANGA MATAKWA YETU YOTE YALITIMIZWA ILI LEO TUIFUNGE SIMBA KWA UHAKIKA KABISA...

SIMBA HAWAWEZI ISHINDA YANGA HII AMBAYO INAPIGA MTU BAO 3,4,5,6 bila huruma kabisa.
Ban ya nini sema upigwe miti mwezi mzima.
 
Ila Simba wangefuata ushauri wa Zuchu jamani.

(Siendi jamani siendi.......,)
 
Back
Top Bottom