Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Sawa mwanamke mwenye sura mbayasawa mrembo
Wanangu wa Msimbazi njooni mmlipe basi 😀😀
Ban ya nini sema upigwe miti mwezi mzima.Hizi teams zina mambo ya kipuuzi sana lakini nashukuru YANGA MATAKWA YETU YOTE YALITIMIZWA ILI LEO TUIFUNGE SIMBA KWA UHAKIKA KABISA...
SIMBA HAWAWEZI ISHINDA YANGA HII AMBAYO INAPIGA MTU BAO 3,4,5,6 bila huruma kabisa.
Ban ya nini sema upigwe miti mwezi mzima.
Anna wewe wa kuongea hayo maneno? Kumbuka una mimba yangu lakini.Mm ni yanga Komeo Lachuma huna faida yoyote humu jukwaani hvo kupigwa ban kwako ni upotevu wa muda na matumizi mabaya ya akili
Kama chizi jioni anarudi nyumbani na mchana anarudi kula na apigi watu mtaani yanini KUMFUNGIA NDANI?
Afya ya akiliAnna wewe wa kuongea hayo maneno? Kumbuka una mimba yangu lakini.
Afya ya akili
Umetoa ahadi mwenyewe leo lazima kipira kitanuliwe hichoNjoo nikupige miti unapenda sana nadhani.
Naona kifinyio chako kina pwita pwita.. mi situmii mashoga. Peleka huko huo uchafuUmetoa ahadi mwenyewe leo lazima kipira kitanuliwe hicho
Mwanamichezo mzuri hawezi kutoa ahadi za namna hii kwenye mpira, nadhani ungesema tu Yanga anashinda basi.
Umetoa ahadi mwenyewe leo lazima kipira kitanuliwe hicho