Simba ikimsajili Kevin Nashon nitafurahi sana

Simba ikimsajili Kevin Nashon nitafurahi sana

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Nimeona Simba ikiwania saini ya kiungo mkabaji Kevin Nashon ambaye kwa sasa anakipiga Geita, Simba itakuwa imelamba sana dume kwa kiungo huyo.

Kevin ni zaidi ya Mzamiru, huyo mnayemuita Fei Toto anasubiri kwa huyo dogo, anakata sana umeme yule bro, atasaidia sana kuimarisha nafasi ya kiungo badala ya Mkude. Mwingine ni kiungo wa Kagera Sugar anaitwa Ufudu, jamaa anasumbua sana pale kati.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Nimeona Simba ikiwania saini ya kiungo mkabaji Kevin Nashon ambaye kwa sasa anakipiga Geita, Simba itakuwa imelamba sana dume kwa kiungo huyo, Kevin ni zaid ya Mzamiru, huyo mnayemuita Fei Toto anasubiri kwa huyo dogo, anakata sana umeme yule bro, atasaidia sana kuimarisha nafasi ya kiungo badala ya Mkude, mwingine ni kiungo wa Kagera Sugar anaitwa Ufudu, jamaa anasumbua sana pale kati.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Mkuu, kwa Fei Toto anasubiri sana labda kwenye kuchapa kiatu!
 
Kelvin Nashin anajua sana na siku nyingi tu anaumeaga mwingi. Lakini mzamiru ana masaada mkubwa sana kwa Simba. Nfkiri ukiwa na Kelvin huna sababu ya kuwa na Kanuti. Wamtoe Kanuti/Mkude
 
kacheza sana mwanza,uwanja wa masamaki
 
Kelvin Nashin anajua sana na siku nyingi tu anaumeaga mwingi. Lakini mzamiru ana masaada mkubwa sana kwa Simba. Nfkiri ukiwa na Kelvin huna sababu ya kuwa na Kanuti. Wamtoe Kanuti/Mkude
Wewe ni shabiki Bora. Hata mlinganisho wako unaendana na uhalisia.
 
Nimeona Simba ikiwania saini ya kiungo mkabaji Kevin Nashon ambaye kwa sasa anakipiga Geita, Simba itakuwa imelamba sana dume kwa kiungo huyo.

Kevin ni zaidi ya Mzamiru, huyo mnayemuita Fei Toto anasubiri kwa huyo dogo, anakata sana umeme yule bro, atasaidia sana kuimarisha nafasi ya kiungo badala ya Mkude. Mwingine ni kiungo wa Kagera Sugar anaitwa Ufudu, jamaa anasumbua sana pale kati.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Yaan unamlinganisha Zanzibar finest na Kelvin Nashon!
 
Ofcourse Kelvin Nashon ni kijana mwenye kipaji kikubwa! Mara kadhaa hata mimi nimempigia chapuo kusajiliwa Yanga.

Ni kiuongo mkabaji bora kabisa katika nchi yetu. Akipata nafasi ya kicheza na vijana wenzake pale Yanga, mfano Dickson Job, na Shomari Kibwana; hakika watajenga ukuta makini sana pale nyuma.
 
Mlisema hivyo hivyo kwa nasoro kapama sijui ni versatile player ila profile ya simba imekuwa kubwa sana kuliko yeye haendani na club ya simba labda kagera sugar huko.
 
Back
Top Bottom