Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Nimeona Simba ikiwania saini ya kiungo mkabaji Kevin Nashon ambaye kwa sasa anakipiga Geita, Simba itakuwa imelamba sana dume kwa kiungo huyo.
Kevin ni zaidi ya Mzamiru, huyo mnayemuita Fei Toto anasubiri kwa huyo dogo, anakata sana umeme yule bro, atasaidia sana kuimarisha nafasi ya kiungo badala ya Mkude. Mwingine ni kiungo wa Kagera Sugar anaitwa Ufudu, jamaa anasumbua sana pale kati.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app