Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Ally Ufudu hapana
Kevin Nashon yes ni mzuri ila kama tunaweza tumuombe Bryson Raphael (captain wa Azam jina lake jipya nmelisahau)
Naam sospeter bajana Ile middle ni chuma steel sana yan kama ahly ni aliu diengBanyana yule jamaa ni roho ya paka
Mkuu, kwa Fei Toto anasubiri sana labda kwenye kuchapa kiatu!Nimeona Simba ikiwania saini ya kiungo mkabaji Kevin Nashon ambaye kwa sasa anakipiga Geita, Simba itakuwa imelamba sana dume kwa kiungo huyo, Kevin ni zaid ya Mzamiru, huyo mnayemuita Fei Toto anasubiri kwa huyo dogo, anakata sana umeme yule bro, atasaidia sana kuimarisha nafasi ya kiungo badala ya Mkude, mwingine ni kiungo wa Kagera Sugar anaitwa Ufudu, jamaa anasumbua sana pale kati.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Tatizo ana loose temper haraka!Banyana yule jamaa ni roho ya paka
Wewe ni shabiki Bora. Hata mlinganisho wako unaendana na uhalisia.Kelvin Nashin anajua sana na siku nyingi tu anaumeaga mwingi. Lakini mzamiru ana masaada mkubwa sana kwa Simba. Nfkiri ukiwa na Kelvin huna sababu ya kuwa na Kanuti. Wamtoe Kanuti/Mkude
Yaan unamlinganisha Zanzibar finest na Kelvin Nashon!Nimeona Simba ikiwania saini ya kiungo mkabaji Kevin Nashon ambaye kwa sasa anakipiga Geita, Simba itakuwa imelamba sana dume kwa kiungo huyo.
Kevin ni zaidi ya Mzamiru, huyo mnayemuita Fei Toto anasubiri kwa huyo dogo, anakata sana umeme yule bro, atasaidia sana kuimarisha nafasi ya kiungo badala ya Mkude. Mwingine ni kiungo wa Kagera Sugar anaitwa Ufudu, jamaa anasumbua sana pale kati.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Sospeter BajanaAlly Ufudu hapana
Kevin Nashon yes ni mzuri ila kama tunaweza tumuombe Bryson Raphael (captain wa Azam jina lake jipya nmelisahau)
Tatizo anakamia halafu mbishi na anang'ata meno Sana.Banyana yule jamaa ni roho ya paka
Vipi Mtoto Mdogo sana mlishayamaliza?Banyana yule jamaa ni roho ya paka