Duh!Huyu dogo ni Yanga mwenzangu sema yupo karibu sana na Hersi. Mpaka watu wanamhisi vibaya. Maana mpaka anambebea simu zake sometimes. Hatumwelewi kabisa. Before alikuwa na manara lakini naona kama kaamua kukomaa na Injinia peke yake.
Moods tunaomba apigwe ban kweli , hatutaki Ujinga, tunataka wazalendo wa kweli kwa nchi yetu, mpaka Mh.SSH anasuport wewe nani? Tunaomba apigwe banSisi wengi tunashabikia timu hizi za Kariakoo, lakini huyu mwenzetu kiwango cha ushabiki wake kimepitiliza...
Ni sawa na wale ambao hufikia kiwango cha kuwaweka bond wake/wapenzi wao kisa ushabiki wa mpira 🙌
Kuna lakujifunza 😂😂Kingekulambaa, nyokooo wee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AfadjHaijawahi tokea nmeshindwa kutabiri
User is banned, and can not reply to this thread📌📌🔨💪🏿Japo sio rahisi Kwa Simba hii
Ombi limetekelezwa😁
Alaaah kumbe hivi analipwa sh ngapi?Huyu dogo ni Yanga mwenzangu sema yupo karibu sana na Hersi. Mpaka watu wanamhisi vibaya. Maana mpaka anambebea simu zake sometimes. Hatumwelewi kabisa. Before alikuwa na manara lakini naona kama kaamua kukomaa na Injinia peke yake.
Duh,Simba ikishinda Leo dhidi ya Al ahly tripoli nipigwe ban
AfadjHaijawahi tokea nmeshindwa kutabiri
User is banned, and can not reply to this thread📌📌🔨💪🏿Japo sio rahisi Kwa Simba hii
Wametembea naye kiulalo😂